Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

“Ni kawaida ya mwanadamu kukaguliwa kaguliwa, mara mafua mara homa mara chochote”. Samia Suluhu.

Wenye akili tumekuelewa mama ila sidhani kama MATAGA wamekuelewa.
Nikawaida

Au nasema uongo ndugu zangu
 
Pole
Yaani Tundu lissu, Mnyika, salum mwalim, Gwarugwa plus Faru John utegemee kupata taarifa reliable kweliiiiiiiiiiiiiiiiii du chadema majanga matupu. Hongera Halima &co kwa kujitambua, hata hivyo mmepoteza muda wenu sana huko
Shangaz
 
Back
Top Bottom