Mama Samia, jengo la BOT Mwanza tumepigwa

Hata ukifanya tofali 40 kwa mifuko 40 ya cement huwezi kutetea.
Afadhali umenena hivyo, maana sisi huwa tunadhania jengo la benki linajengwa kwa tofali zile zinazotolewa 40 kwa mfuko mmoja wa sementi.
 
Nimeona hapa Governor wa BOT akiwasilisha gharama ya ujenzi wa jengo la BOT Mwanza ambalo limegharimu Bil.44. Hapa tumepigwa kwa mtu wa kawaida hilo jengo limegharimu kati Bil.3 na hadi 5 nyingine tumepigwa wazi wazi.
===
Nimeambiwa kwamba shilingi bilioni 23.37 ni kwaajili ya ujenzi na shilingi bilioni 18.73 zimetumika kuweka mitambo na mifumo mbalimbali. Niitumie fursa hii kuipokenza Benki kuu kwa jengo hili zuri na la kisasa.

Mheshimiwa pamoja na sifa hizo ujenzi gharama kidogo imesisimua mishipa ya damu lakini hili tutalitazama jinsi tunavyokwenda kwa leo ni sherehe ya uzinduzi wa jengo. Fedha zimetumikaje, zimeendaje tutashikana huko.
Jengo hilo kwa 44 bilioni, Gavana wa bank kuu wajibika kabla hujaaibika .
 
Amatus Lyumba alituhumiwa Kuiba hela za BOT...Lakini nilipoingia mle ndani jinsi majengo yalivyojengwa kule BOT ni kiwango cha juu mno.

Wewe na Bil 3 sijui umezingatia nini tupe analysis sio majungu tu...
Hawa ndezi wanahisi ile ni ghorofa kama zile za Manzese 😅😅😅
 
Jengo kubwa na imara, kuna basement ya maana pale chini. Benki kuu haijengwi kama Guest za Buza mkuu
Ni kweli kabisa, na mifumo inayojengwa na kuundwa humo hasa ya kiusalama ni ya gharama kubwa.
B.o.T haijengwi kama branch ya CRDB Chato.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Umeona bomu tuu.kwanini hukuwaza majambazi?
Hii ni kwa mujibu wa utetezi wa gavana Luoga! Msisitizo ulikuwa uimara wa kuhimili bomu na hiyo ikahalalisha matumizi ya 44Bil!
Majambazi hata kijiukita changu tu cha home kwangu hawapiti na kina thamani ya 7mil tu😜! Sasa fikiria kwenye bil.44 kuna mil.7 ngapi!
Hawa jamaa I see wanatupiga hela walipakodi wa Tz bila hata chembe ya huruma I see!
 
Hawa ndezi wanahisi ile ni ghorofa kama zile za Manzese 😅😅😅
Hakuna ujenzi wowote wa ajabu kujustify upigaji huo! Utaambiwa nondo moja tu ktk zilizo tumika hapo ni 1m, trip moja ya mchanga wa kujengea bot ni 5m😜! Upuuzi mtupu! Isitoshe, wizi wa fyeza bot hufanywa mchana kweupe na signatories wameanguka signs na mtunza funguo na passwords za vault zikiwekwa na askari kusindikiza! Haya mengine ni swaga tu, hakuna lolote! Mfyuuuuuu 😡!
 
Mkuu umefanikiwa kuona BOQ au ni picha pekee umeona?
Kumbuka jengo la bank linaweza onekana simple kwa nje lkn gharama kubwa ikawa kwenye kuliimarisha na security kwa maana ya miundo mbinu yake.

Tusitarajie jengo na uimara wa jengo la BOT liwe kama Saluni ya Mama Kimbo.
Still tumepigwa bado
 
Back
Top Bottom