Mama Samia, jengo la BOT Mwanza tumepigwa

Mama Samia, jengo la BOT Mwanza tumepigwa

Siamini hilo jengo likipigwa bomu kama kuna kitu kitabaki! Gavana asituokote kwa kuhalalisha yasiyohalalika! 44 bil ni fyueza ndefu sana hiyo kwa jengo moja tu isee!
Njoo na BoQ yako afu ilinganishe na hio ya BoT

Nondo tu ya hapo Benki Kuu unafkr ni kama za Kariakoo?.
tatizo watu tunapenda kuongea sana
 
Nimeona hapa Governor wa BOT akiwasilisha gharama ya ujenzi wa jengo la BOT Mwanza ambalo limegharimu Bil.44. Hapa tumepigwa kwa mtu wa kawaida hilo jengo limegharimu kati Bil.3 na hadi 5 nyingine tumepigwa wazi wazi.
===
Nimeambiwa kwamba shilingi bilioni 23.37 ni kwaajili ya ujenzi na shilingi bilioni 18.73 zimetumika kuweka mitambo na mifumo mbalimbali. Niitumie fursa hii kuipokenza Benki kuu kwa jengo hili zuri na la kisasa.

Mheshimiwa pamoja na sifa hizo ujenzi gharama kidogo imesisimua mishipa ya damu lakini hili tutalitazama jinsi tunavyokwenda kwa leo ni sherehe ya uzinduzi wa jengo. Fedha zimetumikaje, zimeendaje tutashikana huko.
Hyo bilionu tatu unayosema wewe ni umeme bila Ac
 
Jengo lilihamisha mhandisi sababu ya variations. Wachina sio kabisa. Wana quote kitu tofauti na wanachoenda kufanya
 
Hili jemgo ndani yake kuna mambo mengi sana hasa ya kiusalama si ajabu hata kandarasi imeenda kwa kampuni zaid ya mbili
 
Nimeona hapa Governor wa BOT akiwasilisha gharama ya ujenzi wa jengo la BOT Mwanza ambalo limegharimu Bil.44. Hapa tumepigwa kwa mtu wa kawaida hilo jengo limegharimu kati Bil.3 na hadi 5 nyingine tumepigwa wazi wazi.
===
Nimeambiwa kwamba shilingi bilioni 23.37 ni kwaajili ya ujenzi na shilingi bilioni 18.73 zimetumika kuweka mitambo na mifumo mbalimbali. Niitumie fursa hii kuipokenza Benki kuu kwa jengo hili zuri na la kisasa.

Mheshimiwa pamoja na sifa hizo ujenzi gharama kidogo imesisimua mishipa ya damu lakini hili tutalitazama jinsi tunavyokwenda kwa leo ni sherehe ya uzinduzi wa jengo. Fedha zimetumikaje, zimeendaje tutashikana huko.
Hata kama tusingepigwa, salio ambalo lingebaki usingelijua.
 
Kiufupi hata mkijitetea vipi,tumepigwa ngj takukuru wapite wabongo tunajuana hadi humu najua kuna watu wamewekwa na wanalipwa kupoza joto ila ukweli utajulikana,mkimzingua naye anawazingua
Baba unafikiri benki kuu ni kama banda last kuku. Humo ndani kuna na vault (vyumba vya kuweka fedha ) sehemu za kuhifadhi dhahabu. Kutokana na hivyo kunahitajika ulinzi mkubwa sana. Hizo garama zake zote unazijua?

Acha kukariri mambo mkuu.
 
Unaanza kutetea wizi,di ukaekimya mpaka ufuatiliaji ufanyike?timu ya wataalamu itaundwa kuchunguza gharama za matumizi,unahalalisha bila uchunguzi kwenye tuhuma?
Kapimwe akili mkuu.
Jengo kubwa na imara, kuna basement ya maana pale chini. Benki kuu haijengwi kama Guest za Buza mkuu
 
Wezi wanaanza kuhalisha,si wasubiri wasafishwe na timu ya uchunguzi?
Kasema leo sio siku ya kuongelea hilo suala maana yake kuna uchunguzi wa usalama wa taifa na takukuru utakaochunguza.

Ingawa nimemuelewa Luoga alipoongelea masuala ya vyumba vya underground.
 
Back
Top Bottom