Mnondwe
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 4,012
- 3,683
Bado haihalalishi matumizi ya fedha kubwa kuliko thamani yake,TULIENI kama hamkuiba mutadafishwa na timu ya uchunguzi,kwa sasa ni tuhuma za matumizi makubwa tu
Baba unafikiri benki kuu ni kama banda last kuku. Humo ndani kuna na vault (vyumba vya kuweka fedha ) sehemu za kuhifadhi dhahabu. Kutokana na hivyo kunahitajika ulinzi mkubwa sana. Hizo garama zake zote unazijua?
Acha kukariri mambo mkuu.


