Mwacheni jamani akale wapi?
NIMETUMIA NENO ...MTU WA MUNGU....KWA MWONGOZO WA KIBIBLIA......!
HEBU TUREJEE KWENYE GOMBO LA CHUO TUONE MATUMIZI HASA YA NENO HILO.....!
SOMA 2KINGS 1:9(2WAFALME 1:9)......HAPO TUMEENDA MOJA KWA MOJA KWENYE MATUMIZI YA NENO ...MTU WA MUNGU....!
UKIANZA MWANZO WA KITABU CHA WAFALME WA PILI MPAKA PALE MFALME ANAONGEZEWA UMRI WA KUISHI INAELEZA KWA KINA KUHUSU SWALI LAKO....HAPO NDIPO UTAKAPOONA KUWA KUNA WATU WA MUNGU......!
Ni eneo zuri la kuchukulia PhD wanawane!
Jamaniee mi nachoka kabisa bora kuacha haya mambo maana hata serikali haiamini uchawi ingawa viongozi wanapishana huku kwa waganga.Naikumbukwe jamani kuna wabibi wanawatumia wajukuu zao kwa uchawi na wazazi wao hawajui kabisa ombeni agape wana kipindi cha ushuhuda kinaitwa this is my story mtaona mambo kule.na mwenye ushahidi hawa watoto ni matapeli aweke wazihivi kweli unaushahidi wowote kuwa mama Rwakatare amedanganywa na wale watoto au unaropoka tu?
Yuko mwingine Vernon Fernandes hukohuko Dar, naye ni "mtume na nabii", naye kategesha nyavu zake hukohuko barabara aliko Mwingira, naye kipaumbele chake katika mahubiri yake siku zote ni "kutoa", namba ya akaunti ya kanisa lake inakuwa kwenye screen ya tv muda wote, yakikukolea tu ukatumbukize mahela humo! Hata siku moja sijawasikia wakisema hiyo akaunti ina hela ngapi sasa tangu watu waanze kutumbukiza "mafungu" humo ya "kupanda mbegu". Njia hiyohiyo kuna Sylvester Gamanywa, angalao yeye hajajiita nabii na wala sijasikia kituko chochote dhidi yake, lakini nina mashaka. Kwa nini wanapenda tu huko Mbezi Beach? Wajanja hawa, wanajua kuna "ming'ombe minene" huko, zinatoka sadaka za maana! Sasa je, ulitaka waende Mkuranga au Rufiji wakafe njaa?
Naomba hii mada niilete tena kwani kuna ushahidi zaidi umepatikana.navyoamini mimi, wachungaji ni watu maalum katika jamii ambao wamejaliwa kuwa viongozi wetu wa kiimani....nimesoma kwa mshtuko from some newspapers that mchungaji mama Getrude Rwakatare (MB), amedanganywa na vijana, tena wadogo mno kiumri (7-10 yrs), waliojifanya ni wachawi waliodondoka toka safari zao...eti cha kushangaza zaidi, ilibidi ipigwe ibada ya nguvu kuwaombea!! utata naopata mimi, na ninaomba wadau wenzangu mnisaidie ni kwamba, je mama Rwakatare alishindwa kutumia nguvu za kiroho alizonazo kutambua kwamba those guys were conmen???? uko wapi mpako wa roho mtakatifu kwa mchungaji wetu? haya, kazi kwenu, tudanganyeni tu!!!??
Naomba hii mada niilete tena kwani kuna ushahidi zaidi umepatikana.
Yule mtoto aliyeanguka kutoka kwenye paa la kanisa sasa amekutwa na kichwa cha mtoto wa kama miaka mitatu.
Je, wadau mnasemaje juu ya uwezo na nguvu za huyu mchungaji Rwakatare? Na je, mtachukua muda kuomba radhi kwa yale mliyoyasema ya usanii na nini ili msije mkakutwa na yale yaliyowakuta waliomsema mabaya mtumishi wa Mungu Musa?
Hakuna sanaa ndani ya jina la Yesu bali kuna nguvu na uweza.
Usifiwe msalaba lisifiwe kaburi. Asifiwe Yesu Kristo kwa kutupa nguvu hii.
Kama watu wasingepuuza nguvu za Mungu katika Kristo Yesu mtoto huyo wa Tabata asingepoteza maisha. Ila kwa ajili ya mioyo ya watu kuwa mbali na Mungu na kutaka kutengeneza vichwa vya habari kwenye magazeti na JF ndo hayo yametokea.
Sijasema kuwa mtoto huyo alimsema vibaya mama Rwakatare isipokuwa ni yule kijana kudondoka kwenye paa la kanisa la mama Rwakatare na watu kusema ni usanii wa wachungaji wa kupandikiza watu kusemea nguvu za Mungu na huku ni maneno ya kupanga.Ngonalugali,
Heshima yako natanguliza mbele.
Kisha najaribu kukuelewa kuhusu hayo ulosema...Huyo
mtoto aliyekatwa kichwa kwani alimsema vibaya Mama Rwakatare?
Kisha naona unasifia nguvu za msalaba na kaburi...najua these
are some main tenets of the christian religion and the
Christians know it better.Kama wasemavyo there is power in those
two but what people are debating over here is the fact that
Mama Rwakatare anatumia dini kuendeleza mambo yake binafsi na
sio mambo ya Mungu.