Mama Rwakatare ni Mtakatifu au Mtakavitu?

Huyu mama ana nguvu za kitakatifu. Niliona kwenye TV live akimponya binti mmoja aliyekuwa na mashetani. Pia anaongea na anauwezo wa kuyaita majini yaliyomo ndani ya mtu. Si hivyo tu pia anayatoa na binti anapona. Hii yote live kwenye tv mbele ya maelfu ya wauminil. Ananguvu za roho mtakatifu. Mimi binafsi sina majini na siyajui, ila ningekuwa nayo ningemtafuta.
Kiongozi una uhakika kuwa mtoto uliyemuona anatolewa majini live kwenye TV alikuwa na MAJINI?,je kama ilipangwa kati ya mama na huyo mtoto ili kugain publicty?
 
Ushauri wa bure, kama unaona mtumishi wa mungu hayuko sahihi au kuna udanganyifu wa aina yoyote kwa nini usimuombee? tuepuke laana jamamni zisizo na msingi. BiBilia inasema usimguse masihi wangu i chronicles 16.22. mnkumbuka yaliyompata aron na dada yake kwa sababu ya kumsema musa. kama huyu mama ni muongo au mchungaji yeyote yule nu muongo, tumuache Mungu mwenyewe ashughulike nao. MUNGU hata siku moja hashei utukufu na mtu mwingine, lazima atalidhibitisha hilo siku moja.
Kuhusu mali aliyewaambia kuwa wnanomtii mungu/walokole wanantakiwa kuwa maskini ni nani.
biblia ina priciple zote za jinsi ya kuushinda umaskini, na kama unazifuata lazima uwe trillionea sio tu bilionea.
1. Utubu dhambi zako na kusihi maisha safi.
2. Umpokee yesu kwa kukiri kwa kinywa chako kuwa ni bwana na mwokozi wa maisha yako.
3. ufanyiwe maombi ya ukombozi ili utoke katika kila vifungo vya shetani
4. Kutoa fungu la kumi, sadaka malimbiko etc
5. kuwajajli wanyonge na waliokata tamaa.
6. kupeleka neno la mungu kwa mataifa (hii inaweza kuwa kupitia kusupport huduma mbalimbali kama kuchangia mikutano etc.
and so on and on.
Nina kuhakikishia ukiyatimiza hayo utakuwa trillionea. kwa hiyo mimi siwezi kusema ni sadaka za waumini zinazo wapa hawa watu utajiri. Sadaka zenyewe mnatoa? wewe ambye unalalamika sana sadaka huwa untoa kwa ujumla wake shilingi ngapi kwa mwezi???
Mungu atuponye na haya yote.
 
mpeni mungu yaliyo yake.....na kaisari yaliyo yake.......bible ina sema huwezi kutumikia mabwana wawili...ila kwenye ulaji hata kama anatenda dhambi bado anaona ni halali kwake kuchanganya dini/uchungaji na siasa kitu ambacho si kweli......
''WATU HAWA WANIABUDU KWA MIDOMO,ILA MIOYO YAO IKO MBALI NAMI''....''MKIWA NA IMANI KAMA CHEMBE YA HARADANI,MNAWEZA KUAMURU MILIMA ING'OKE IENDE MBALI NA IKAWATII''....''SIKU HIYO WENGINE WATAKUJA KWANGU NA KUSEMA,BABA MBONA MIMI NILIITA WATU WENGI KWA JINA LAKO WAKAJA KWAKO?,NAE ATASEMA ONDOKA KWANGU SIKUTAMBUI''ngoja tuendelee kudanganyana tu.....
Tatizo ni kwamba katika Biblia ya Rwakatare, maneno hayo uliyoyaandika hayamo. Si unajua ziko Biblia aina tofauti, nyingine zina vtabu 77 na nyingine zina vitabu 66. Ya Rwakatare nasikia ina vtabu pungufu kabisa.

Hapo ndipo mchezo ulipo.
 
MAMA Rwekatare ni Tapeli,tuhukweli sio nabii kama anavyojitangaza.
ana mambo kibao ya giza ambayo anayakumbatia.Ni Msanii.
mumewe yupo hai Mr Rwekatare ,mama Rwekatare ni mpogoro wa mahenge sehemu inaitwa MLUNGUCHIBIDU.kama kweli anajua kusamee amsamehe kwanza mumewe warudiane,(kama awezi kusamehe si Mkristu),pili Mungu huwa anaongea mara moja tu
kumbuka Musa alipopiga fimbo mara 2 alipata adhabu ya mungu,iweje mchungaji kama Rwekatare afoke zaidi ya mara 20 kumtoa mtu pepo?
HUKWELI NOW INABIDI WATU WAWE MACHO
JE NINANI ANAMJUA MKE WA KAKOBE?WHY AYUPO SO CLOSE NA MUMEWE?
JE NI KWELI UKIWA MCHUNGAJI NA MKEO NAE ANAO UPAKO?
WHY THEN NOT THE SAME WITH JESUS,MARY AND JOSEPH?
TUJIAZALI KWALI KINA ELIA WAPO NAPIA MANABII WA MIUNGU YA UWONGO WAPO WENGI TU.
 
angalia usije ukawa umetumwa na mapepo!! kama mumewe ndo alimuacha atamsemeheje? na kama xmumewe ameoa tena?mpaka xmumewe aje aamue mwenyewe kuacha uzinzi na mke kimada aliyenaye amrudie hawezi kumkataa....kuhusu kakobe mbona mara nyinga anakuwa madhabahuni na mumewe?kama hufuatilii nilifikiri hayakuhusu sasa yanakuwashia nini? kukemea mapepo hakuna formula kama ilivyo yaingiapo...kukemea muda mrefu na mfupi ni immaterial bora yatoke.
 
MAMA Rwekatare ni Tapeli,tuhukweli sio nabii kama anavyojitangaza.
ana mambo kibao ya giza ambayo anayakumbatia.Ni Msanii.
mumewe yupo hai Mr Rwekatare ,mama Rwekatare ni mpogoro wa mahenge sehemu inaitwa MLUNGUCHIBIDU.kama kweli anajua kusamee amsamehe kwanza mumewe warudiane,(kama awezi kusamehe si Mkristu),pili Mungu huwa anaongea mara moja tu
kumbuka Musa alipopiga fimbo mara 2 alipata adhabu ya mungu,iweje mchungaji kama Rwekatare afoke zaidi ya mara 20 kumtoa mtu pepo?
HUKWELI NOW INABIDI WATU WAWE MACHO
JE NINANI ANAMJUA MKE WA KAKOBE?WHY AYUPO SO CLOSE NA MUMEWE?
JE NI KWELI UKIWA MCHUNGAJI NA MKEO NAE ANAO UPAKO?
WHY THEN NOT THE SAME WITH JESUS,MARY AND JOSEPH?
TUJIAZALI KWALI KINA ELIA WAPO NAPIA MANABII WA MIUNGU YA UWONGO WAPO WENGI TU.
Ukweli ujinga wa watanzania ndio unaomstawisha huyu Mama. Fikirini, kama tusingeenda kwake si angerudi upogoroni tu!!!

Tena basi kuhusu ya mume ya wake ndio kwanza nayasikia leo. Hivi kwanini waliachana? Ila ninachojua mimi ni kwamba wanawake kama MAMA Rwakatare hawawezi kuishi na wanaume.

Halikadhalika ndugu yangu Kakobe.
 
Kwa hawa matahira wachache laana haitatukosa nchi hii!

Thanks Jesus! wenye haki wangu wataishi kwa iman
 
Investigative journalism hakuna Tanzania.Ingekuwa na demokrasia nzuri mama kama huyu watu wangejua everything.Je hiyo miradi yake kuna mtu mwingine?Mr Rwakatare
alikosea nini,au ni Shomile behaviour ?Kwa nini aingie Ubunge?Je anaconnection gani na CCM?
 
Waandishi wa habari wanajua yote ya Mama Rwakatare, ila si unajua watanzania kwa ushirikina. Nao wanamuogopa, mashujaa kama sisi ni wachache.

Hebu angalia huko nyuma eti alimfungia muumini katika chumba cha kanisa kwa masaa mawili. Kisa eti alikuja kumuibia waumini, kwani yeye hao aliwapata wapi. Halafu watu miongoni mwao waumini wanakaa na kumuamini na wala wasimkemee wala wasimshtukie.

Na bado akina MaxShibe wanamtetea kwa nguvu zote. Huyu mama si tu kuwa Tapeli na mshirikina, bali ni kichaa au mgonjwa wa akili.

Kuna mchungaji mmoja alikuwa wa aina hiyo, huko morogoro, naye aliishia jela. Ila huyu mama kwa vile kaikumbatia CCM basi jela si rahisi, tena atkuwa anamaliza kwa bua tu sasa hivi. Jamani watanzania amkeni!!!!!!!!!!!!!! Hiyo ndio dawa pekee.
 
Zawadi, naona unavuka mstari mkuu.

Mimi huwa siweki post yeyote bila ya ushaidi ambao ni verifiables na tangible wakati wowote. I asked you a simple question, nayo ni, give me hizo impeccables exhibits ulizao nazo, ili niwape wakuu wangu. Lakini umeshindwa na kuja na blah blah zilizo kosa mwelekeo na uthibitisho yakinifu.

Unapo weka kesi ya madai, huwa hakuna siri zaidi ya kuweka uthibitisho ili watu wajuwe ukweli ni upi. Lakini wewe na baadhi ya watu hapa JF, mnatatizo la kuendeshwa na fikra potofu ambazo labda ni kwa sababu Mama Lwakatare amekuwa zaidi yenu, na hakuna jinsi ya kumfikia. Maisha ndivyo yalivyo, wengini watakuwa wafuata mkumbo, na kutakuwa na viongozi, ambao utake usitake wataendelea kuwepo mpaka majaaliwa ya maisha yao.

Hivyo basi, narudia tena, email me hizo exhibits at CHRIST4ALLNATIONS1@YAHOO.COM ulizo nazo ili niweze kuzifanyia kazi au nipigie simu toll free 800 398-8201. Sasa nafikiri utaelewa huwa ninamaanisha ninacho sema baada ya kuweka simu na email yangu hapa JF.

Kushindwa kwako kuweka ushaidi au kunipa ushaidi ni jibu tosha kuwa wewe si chochote zaidi ya kuwa mpenda malumbano ambayo kamwe hayata saidia maisha yako na ya watu wengine zaidi ya kuonyesha ni jinsi gani ulivyo below par katika maisha.

Its me

Max Shimba, A Bondservant of Jesus Christ
 
Tatizo ni kwamba katika Biblia ya Rwakatare, maneno hayo uliyoyaandika hayamo. Si unajua ziko Biblia aina tofauti, nyingine zina vtabu 77 na nyingine zina vitabu 66. Ya Rwakatare nasikia ina vtabu pungufu kabisa.

Hapo ndipo mchezo ulipo.

Hivi wewe unazo kamili?
 
Walioshiriki mchakato wa ubunge wa viti maalum kwa tiketi ya CCM wanasema huwezi kupenya bila kutoa mlungura. Napata mashaka kwa Dr.Rwakatare, ambaye ni mtumishi wa Mungu, jinsi anavyoweza kupata ushindi wa juu katika viti maalum bila kutoa rushwa ama ya pesa au ya vitu (km kuahidi watoto wa wapiga kura wasome bure katika shule zake).

Sidhani kama ni msafi kama anavyojipambanua katika jamii.
 
Siyo kuhonga bali yeye ananunua.Uongozi katika CCM ni bidhaa ukiwa na fedha unanunua tu.
 
Unaamini anaongoza msafara unaokwenda wapi?

Fungua biblia ni manabii gani watakuja siku za mwisho

Halafu Ona Biblia hiyo hiyo imekushauri nini juu ya manabii hao
Linganisha tabia,malengo na mahubiri yao kisha rudi kwangu tuongee:ranger:

Moja ya tabia zilizoorodheshwa ndiyo criteria ya CCM kupata Ubunge
 
anatokea mlima wa moto hapo ukitaja kitu kwa imani kinakuja na unapata usihofu kama unaimani haba basi we taabika tu
 
Sina uhakika Ubunge wa mwaka huu kwani kapitia mkoa wa morogoro km sikosea lkn kwa mwaka 2005, yeye na marehemu Bint aliyewangangania wauza unga waliongoza kwa kugawa rushwa pale Dodoma hotel chumba no. 02, Mchungaji aliongoza kwa kutoa 60,000/ kila mpiga kura wa viti maalum. akawa wa kwanza kwa idadi ya kura. kutokana na uchaguzi wao alikujapitishwa baada ya miaka 2
Hiyo ni bidhaa lazima inunuliwe
Ya Kaisari mwachie kaisari
 
Ninahoji juu ya huyu mama kuwa mbunge, mfanyabiashara,mchungaji, iliwahi kuvuma huko nyuma kuwa naye yumo biashara haramu kubwa kubwa zitokazo Columbia,mexco na Brazir

Huyu mama ni nani hasa??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom