Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,952
- 10,037
Kama kuna mtu yupo karibu na mama Lwakatare amuulize ile NGO ya Mission to the Need iliyokuwa na makao makuu yake mtaa wa zanaki ilienda wapi?
Zile mali alizowadhulumu wenzake anazikumbuka? Anakumbuka kuwa Mission to the Need ndiyo mzazi wa St. Mary's Schools?
Je, ameishatubu baada ya kuwadhulumu wenzake? Kanisa lake likichunguzwa atabaki salama?
Kwanini anaendelea kuwaibia Watanzania kwa kuwatumia baadhi ya waumini wake ambao huwa anawanunulia suit na kuwaweka viti vya mbele?