BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
.mweeeeehhhhh
Kweli mkuu Mentor unajua kusimulia.
Hili jukwaa linakufaa sana kuliko kule darajani,
ahahah...umeifanya kama joke na mm nipo siriaz ujue!
Btw una shida inayohitaji kuhurumiwa!?? Cc: Kaizer
Mkuu nashukuru kwa kunitambua...faili la miss strong ninalo
Doing somebody's wife i can try to understand your reasons ila Kumbemenda Mtoto (Ofcourse im old school! Call it uswahili or whatever but this is our culture, customs and taboos), wa mwenzio that is dispikable!
Unajua hilo faili linatafutwa sana,we umekaa nalo siku zote unafanya nalo nini?Mpaka nimesahau kama unalo wewe.
Pliz nakuomba mpatie Ruttashobolwa anahitaji kulipitia.
hahaha Ruttashobolwa tangu alipokamatwa na Passion Lady kwisha habari yake hana muda tena wa kupitia mafaili hasa ya warembo miss strong
hebu njoo nikunong'oneze kitu kwanza
huyo mama princess hamna kitu kichwani,,,,,,,,,,,kisa cha kufunguka na kuonesha picha ndiyo nini?
Eti anapambanisha mahendisamu boiz.........lol!Mtu umeonewa huruma,unajifaragua.
Ha ha ha,ungejua usingesema...............hapana chezeiyer mimi.
:A S-key:
:tape::confused3::rolleyez::rolleyez::behindsofa::behindsofa::car::busu😛ray2::amen::amen::amen::amen:
Ha ha ha ha jitokeze tu.........mambo gani kujificha jicho moja huku lingine linachungulia.Mambo yakukaa nyuma ya kochi vp?????????????
Hakikisha tunaonana vere!