Mama Princess

Mama Princess

Aise usirudi, baki huko huko Zimbabwe, huku hali ni mbaya, tindikali inakusubiri airport
 
jukwaa hili limesheheni wataalamu wa kusimulia Mentor jana nimeweka like ila sikuwa nimesoma the whole thing, big up mkuu kwa kujaaliwa hiki kipaji.

Ila kuna mahali umesema humwelewagi mwanaume anayempiga mkewe. Mkuu kuna mazingira unastukia umeishafanya hivyo japo hupendi, we shukuru Mungu kama hujawahi shuhudia mazingira ya hivyo. We differ in how we handle our temper bro

Cc: lara 1 (refer our discussion...heheh)

Hili jukwaa linakufaa sana kuliko kule darajani,

Ahahah mkuu Belo binadamu ni lazima kuwa all-round! Hatahivyo, my blood is blue...Chelsea inanipa furaha...see u saa kumi usiku!!!!!


huyo mama princess hamna kitu kichwani,,,,,,,,,,,kisa cha kufunguka na kuonesha picha ndiyo nini?

Eti anamringishie baba Prince u-hendisamu wangu!

hahahahaha kuna mkono wa mtu,mbona imetokea thatha


Na kweli...sikutegemea!

R.I.P ndugu yangu Mentor .. Kama ukipata bahati ya kumwagiwa tindikali basi ntakuja kukujulia hali utakapokuwepo. Ila kama itakuwa kinyume na hapo ntakuwepo msibani ila hakikisha Mama J unamkabidhi kwangu..

Ahaha kaka Nicas Mtei..mbona kukimbilia shemeji yako! najua wachaga hatuna hiyo mila ya kurithiana mbona!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mentor kama unaweza naomba link ya discussion khs hii kitu (Cc: lara 1 (refer our discussion...heheh =Mkuu kuna mazingira unastukia umeishafanya hivyo japo hupendi, we shukuru Mungu kama hujawahi shuhudia mazingira ya hivyo) nadhani ilinipita, nataka kusoma views za wadau
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mentor kama unaweza naomba link ya discussion khs hii kitu (Cc: lara 1 (refer our discussion...heheh =Mkuu kuna mazingira unastukia umeishafanya hivyo japo hupendi, we shukuru Mungu kama hujawahi shuhudia mazingira ya hivyo) nadhani ilinipita, nataka kusoma views za wadau

hahahah...link coming up soon!!!lol
 
daaaaah bonge la stori yaani natamani liendeleee hivi, mwana wewe ni creative balaaaaaaaaa (hope hiyo ni story tuuu no reality)
 
Ameen....

Hope utakuwa umefika JNIA, karibu kigamboni

Ah ram, kigamboni leo mamii!?? hunipendi wewe....naelekea Tabata!!!
 
Last edited by a moderator:
Ahahahahhhh....

Tabata kwa nani tena wakati yule mchumba nimemshau jina lake ulimtibua
Mentor na wewe una majanga, utadhani sio mtoto wa Eben-ezer!!!


Ah ram, kigamboni leo mamii!?? hunipendi wewe....naelekea Tabata!!!
 
Last edited by a moderator:
safi sana kijana wangu Mentor...hivi mbona hukuniPM kwamba umetupia kitu? what a nice story.

Baada ya kuseam hayo, nami kama Kongosho nilipumua baada ya kuona disclaimer, maana nikikumbuka Verossa mmh
Paloma na Mr Rocky, Mentor amesema anakunywa maji ya kisima chake mwenyewe

isitoshe jamaa hajamwoa huyo mama Princesss na yeye anaibia tu..sema yeye ana upper hand lakini kisheria bana hawezi kumshinda Mentor, so akimfukuza atakuwa amepoteza haki zake zote

Nyie mnaomtisha eti sijui tindikali mara KY, kwani ZIMBABWE havipo ivo vitu
Elizabeth Dominic please call me ASAP!

Kaka Kaizer nilikuwa simuni sijaona hii kitu hili ombi la kupiga limeexpire?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom