Mama Princess

Mama Princess

Mmmmhhh!!! Yaani usingesema kama hii ni hadithi na haihusiani na mtu yeyote yule..................... ningekukamata mahali maana.....................
Anyways the story was nice maana wakati nasoma uliiba mawazo yangu yote nikawa naona rela pictures ya ulivokuwa unasimulia. U R A GOOD ARTIST as art is not only writing poems and songs or do drawings.
I think its a story to refresh mind and to learn or remind others and not to advice or warn you as others comment.

Ila to my thinking capacity hii story kwa namna moja au nyingine lazima inahusiana na wewe Mentor au kuna mtu wa karibu ilishampata au kuna mtu recent amekusimulia yaliyomkuta na umeona huwezi msimulia mtu as ni siri na inaonekana amekusihi usimwambie mtu so ukaona uje ulimwage humu jamvini walau upunguze mzigo aliokubebeshs wa kutamani kuyasimulia maneno hayo hivyo ukabadili majina tuu. Pia ulichoelezea kinawatokea watu wengi tuu humu duniani hivyo lazima kuna watu wakisoma wataona kama umewaongelea wao.
Good day!!
 
Last edited by a moderator:
Unatoa kitabu lini?

Mkuu unadhani nina kipaji hicho!??

Juzi Baba Prince alikuja kununua tindikali hapa dukani kwangu

Na wewe kwanini ulimuuzia bila kumuuliza matumizi mkuu..ndo tunauana hivi!

ngoja amu home shopping Mentor la sivyo akae huko huko Zimbabwe.......

Ndo niko hapa Harare International Airport nangojea ndege mkuu...

Lol what a shame,,..wewe ni zaid ya mentor

It is really a shame..and I am ashamed of myself! Nisaidie kwanza mbinu za kuliepuka hili my dia..

Doing somebody's wife i can try to understand your reasons ila Kumbemenda Mtoto (Ofcourse im old school! Call it uswahili or whatever but this is our culture, customs and taboos), wa mwenzio that is dispikable!

lara 1, kwani mtu akijifungua ashiki zinaenda likizo my dear!??

hukuona vizuri sio tindikali ni ky jelly

Ahaha..mbona mnataka nihamie sauzi wakuu...sio fresh ivo!

Ama kweli vya uwizi vitamu!! Nakushauri Mentor kaa mbali na mke wa mtu maana utatolewa roho kweli.

Kuanzia leo nakaa mbali kabisa nao...

Mentor hama mji hadi hali itulie
Halafu hujisikii vibaya Ma Princess kadundwa sababu yako?

Nadhani alitaka mwenyewe kudundwa, siri ilikuwa safe kati yetu yeye kaamua kuharibu!

Disclaimer kuwa mwanzo, sigh!!!!

Ulitaka ya VEROSSA yajirudie Kongosho...!??

mdogo wangu hivi ndivyo tulivyofunzwa kweli??
mm nitakuchapa kwanza kabla sijafikisha kesi kwa baba lolz!!

Shikamoo dada...ndiyo maana umeona kimya sana! siji nyumbani mpaka yaishe..

mwandishi unajipenda kweli wewe?

[FONT=comic sans ms [USER=782]Mimi[/USER]sa dear..ebu nipe neno la kunifariji walau.[/FONT]

Mtenda akitendwa hapakaliki hapo......,

Kumbe mkuki kwa nguruwe mtamuee..ila akome kumchukulia mkewe for granted bana..iliniuma sana!

Kaah! Sasahivi unaishi kama digidigi, angaliia usije ukaama mji, bila kupenda!!!!!!

Naenda kijijini mara moja shem...
tatizo hili lindege linatua kwanza J K Nyerere...

Mi nafikiri ni busara ukijisalimisha kwake na kuomba msamaha.

WAT!??? Yani bize nijipeleke kwenye mdomo wa mamba mangi!?? Ngoja anitafute mwenyewe..akinidaka bahati yake!

Baada ya hii story...I guess utapata PM za kutosha mkuu
Hongera

Mkuu NIGGA, so far kuna PM yako tu ndo naiona...

Ni ndefu kwa kweli lakini ina mtiririko mzuri.Kizuri cha mwenzio(usione vyaelea vimeundwa),siku zote kitu ukiwa nacho hukioni thamani yake mpaka ukipoteze..pole yake baba princess na ww unajifanya kimbelembele sana ngoja uje ukatwe miguu sasa!Acha kuendekeza uasherati!
mimi49, uasherati nimeacha mkuu..kweli kabisa yani!!!

Hebu ngoja awachwe halafu aje kwako na mabegi tuone kama utaipokea hiyo perfect package

Haha aje tu mkuu..ila masharti yangu lazima Princess achukue jina langu...tunakata mti na mizizi yake!
 
Last edited by a moderator:
Mentor...........you are such a good author! Why do you work on that kipaji?!?!!?

Thank you Paloma...am working on it, thanks to you!

Dah!! Mentor.....One of JF's greatest story tellers...

Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums

Thanks mkuu...I am doing this because I am standing on giants' shoulders. The likes of Mtambuzi, Mzee Mwanakijiji et al...

Mmmmhhh!!! Yaani usingesema kama hii ni hadithi na haihusiani na mtu yeyote yule..................... ningekukamata mahali maana.....................
Anyways the story was nice maana wakati nasoma uliiba mawazo yangu yote nikawa naona rela pictures ya ulivokuwa unasimulia. U R A GOOD ARTIST as art is not only writing poems and songs or do drawings.
I think its a story to refresh mind and to learn or remind others and not to advice or warn you as others comment.

Ila to my thinking capacity hii story kwa namna moja au nyingine lazima inahusiana na wewe Mentor au kuna mtu wa karibu ilishampata au kuna mtu recent amekusimulia yaliyomkuta na umeona huwezi msimulia mtu as ni siri na inaonekana amekusihi usimwambie mtu so ukaona uje ulimwage humu jamvini walau upunguze mzigo aliokubebeshs wa kutamani kuyasimulia maneno hayo hivyo ukabadili majina tuu. Pia ulichoelezea kinawatokea watu wengi tuu humu duniani hivyo lazima kuna watu wakisoma wataona kama umewaongelea wao.
Good day!!
Mkunde Original, hebu nikamate mahali kama unaweza!
Ila nashukuru kunielewa na kuelewa lengo...

gfsonwin hebu mpe somo Mentor naona kateleza na kuanguka kabisa na kuzama kwenye tope kimoja

kaka mkubwa nawewe unansemea tena badala ya kunsaidia!??

:rip:
 
Last edited by a moderator:
Mentor nimeishiwa maneno hapo ukiona maana nashindwa nikuambie urudi au ubadili safari maana mama Princess ukimwacha wakati ushamuonjesha utamu hatakubali na wakati huo Mume nae anakutafuta maana anaona karibu ataachwa
 
Mimi sitaki kurudia tena kwake mkuu...nataka kunywa kwenye kisima changu mwenyewe!!!!
 
Mimi sitaki kurudia tena kwake mkuu...nataka kunywa kwenye kisima changu mwenyewe!!!!
Mentor kuna mawili hapo waweza sema hivyo ila ukifika pale mtaani ukiona gate tuu la mama Princess kuna kitu kitakuambia tuu aahhh kumbuka raha uliyoipata hebu fanya kusahau yote kaonje tena
Na may be anaweza kuwa huko aliko siko kwenyewe ukajikuta anakuwa wako moja kwa moja maana kwa sifa hizo ulizotoa dah hata hapa namuimagine yukoje na ukichanganya na wewe hizo issue zitakazotoka zinaweza kushinda kwa kuwa most beautiful princess and handsome prince
 
Last edited by a moderator:
Mimi sitaki kurudia tena kwake mkuu...nataka kunywa kwenye kisima changu mwenyewe!!!!

je..............akiambiwa na baba princess afungashe aondoke........then anakuja kwako..........utampokea?!?!?
 
Dah mkuu, yaani umeteka uwepo wangu wote nikawa kama naona kisa kizima..you are such a good story teller.

I have learnt a lesson from your story..but you better stay away from Mama Princess kwa usalama wa ka****ng yako na uhai wako!
 
Paloma na Mr Rocky mna nini nami!??? Ntawasemea kwa Kaizer...

safi sana kijana wangu Mentor...hivi mbona hukuniPM kwamba umetupia kitu? what a nice story.

Baada ya kuseam hayo, nami kama Kongosho nilipumua baada ya kuona disclaimer, maana nikikumbuka Verossa mmh
Paloma na Mr Rocky, Mentor amesema anakunywa maji ya kisima chake mwenyewe

isitoshe jamaa hajamwoa huyo mama Princesss na yeye anaibia tu..sema yeye ana upper hand lakini kisheria bana hawezi kumshinda Mentor, so akimfukuza atakuwa amepoteza haki zake zote

Nyie mnaomtisha eti sijui tindikali mara KY, kwani ZIMBABWE havipo ivo vitu
Elizabeth Dominic please call me ASAP!
 
Last edited by a moderator:
hivi mlipokuwa mnagegedana princess alikuwa anawekwa wapi?
 
Back
Top Bottom