Mama Princess

Mama Princess

Ha ha ha, yaani mie nina matatizo sana.Sometimes I hate myself kwa kuwa so nosy kimoyomoyo.

Mie kuanza na disclaimer inamaanisha 'hey buddies, today am playing safely but same old sh*t'

safi sana kijana wangu Mentor...hivi mbona hukuniPM kwamba umetupia kitu? what a nice story.

Baada ya kuseam hayo, nami kama Kongosho nilipumua baada ya kuona disclaimer, maana nikikumbuka Verossa mmh
Paloma na Mr Rocky, Mentor amesema anakunywa maji ya kisima chake mwenyewe

isitoshe jamaa hajamwoa huyo mama Princesss na yeye anaibia tu..sema yeye ana upper hand lakini kisheria bana hawezi kumshinda Mentor, so akimfukuza atakuwa amepoteza haki zake zote

Nyie mnaomtisha eti sijui tindikali mara KY, kwani ZIMBABWE havipo ivo vitu
Elizabeth Dominic please call me ASAP!
 
Hahaha Shem nimekukubali! duh hiyo last sentence tu...#bonge la punchline...if yu no waram saying.

Endelea kufaidi mkuu. Ila this time uwe makini. Mapenzi ni upofu

Niendelee!??

JF ina member zaidi ya 10,000 ukikataliwa endelea kuwaomba wengine.

Kuna member na member Mrembo by Nature...

hivi mlipokuwa mnagegedana princess alikuwa anawekwa wapi?

TANMO, hata nikikuambieni, hakika hamtonisadiki. Jibu lako analo babu Asprin, aliwahi kunifunza jinsi ya kudeal na situation kama hizo!
 
Last edited by a moderator:
loh Mentor nowdays hausomeki kama Kagame mmmmh
 
Last edited by a moderator:
Mkuu angalia wasije wakafumua Linda na kukumwagia ndani Mayonise ya kutosha.
 
Eti mtoto mchumba wako? Jimmy Saville wewe
 
Nimejikuta nacheka kwa sauti, mpaka watu wakanishangaa. story nzuri sana jitahidi utoe kitabu
 
Back
Top Bottom