Habar wa mmu.......aiseee nahitaji mnikumbuke katika maombi,mama yangu ni mgonjwa na hatujui tufanye nini maana hospital ugonjwa hauonekani.Alichomwa na kitu mguuni wik 5 zilizopita ikaota kama kipele then lengelenge na baadae mguu wote ukawa umepata vidonda.Kapimwa magonjwa mengi lakin hamna kitu......leo roho imeniuma coz mguu umeanza kutoa harufu na tena ukijan umeanza.
Naumia sana....nahitaji maombi yenu anaitwa Vicky
Najaribu kujichanganya ila wapiiiii..... sijui nifanyeje wapendwa.
Pole sana mrembo,naelewa maumivu ulokua nayo kwani hakuna kama mama,inshallah mungu atasaidia atapona........
Nenda hapo hosp walipoelekeza wengine nina wasiwasi na hio sindano alochomwa haikuchanganywa inavyotakiwa(Inatakiwa ichanganywe na calsium solutions and must be given within 48hrs)au haikuwa sterile!Kilichomchoma hasa hata yeye ana hisi kati ya jiko o chelewa....
Alianza kutibiwa nearby hom hapa Massana hosptl na baadae lugalo ambapo alikuwa anachomwa sindano za powercef.
Sasa sielewi hapo ni nini haswa
Ana historia ya sukari..!? Walipima hiyo..?! Vipimo mlifanya wapi..?!