Mama Ngina...

Mama Ngina...

Humjui Mama Ngina wewe??
Shauri yako ....!!!!!!!

Nimjulie wapi ndugu yangu?,mi nasikiaga tu hilo jina,sio humu tu sehu nyingi tu,nikajisemea sio ishu ngoja niwaulize member wenzangu,watu ndo wametiririka kama ifuatavyo,hakuna behind the scene ndugu
 
Last edited by a moderator:
ngumi zikianza humu sitaki kuitwa ushahidi nasema tena mi simo !!!
 
Nimjulie wapi ndugu yangu?,mi nasikiaga tu hilo jina,sio humu tu sehu nyingi tu,nikajisemea sio ishu ngoja niwaulize member wenzangu,watu ndo wametiririka kama ifuatavyo,hakuna behind the scene ndugu

Bado tu hujajua....??
 
mtambuzi kulikoni unaamua kufunika kombe?????
 
Bado tu hujajua....??

Aaaah aahh,sijui kitu aiseeh ila nashukuru nimepat mwanga kidog kwa member wa humu MMU ambaye amenifafanulia maana halisi ya Mama ngina, nilichoelewa ni maana ya hilo jina au kuna member humu anatumia hilo jina??
 
Back
Top Bottom