Mama Ngina...

Mama Ngina...

Ngina ni jina la mtu, asili yake nafikiri ni Kenya, huyo mke wa kenyatta yeye anaitwa Ngina Kenyatta, Hili lipo siku nyingi hasa maeneo ya mipakani na Kenya, Ila wengi wetu wameanza kulitumia kumaanisha mke
 
Keyser Söze;8428864 said:
Ngina ni jina la mtu, asili yake nafikiri ni Kenya, huyo mke wa kenyatta yeye anaitwa Ngina Kenyatta, Hili lipo siku nyingi hasa maeneo ya mipakani na Kenya, Ila wengi wetu wameanza kulitumia kumaanisha mke

Got u Wangu,nilikuwa naona watu wakiwaita wanawake haswa wamama kwa jina la mama ngina,sikuelewa maana yake.
 
Back
Top Bottom