KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,569
- 89,213
Kiufupi ni kwamba amempa mimba rafiki wa mke wake!, yani shemeji yake!.
Mkewe hajajua kuhusu hilo swala isipokuwa hofu yake ni juu ha huyo aliempa mimba ni haonyeshi kujali hata kama ikifahamika she don't care!. Wala hata akimuuliza hatoi maoni yoyote ye analea mimba tu!..
Jamaa kapagawa hajui chakufanya maisha anayoishi kwasasa ni ya utumwa!, huyo mwanamke akimpigia simu kwamba sasahivi anamuhitaji aje inabidi tu aende maana anaona akibisha basi anayamwaga hadharani.
Akimuuliza kwanini aliamua kubeba mimba huku akijua ni mume wa rafiki yake hatoi jibu!, ana mute kama vile mtu asiesikia!. Jamaa anaona hili zimwi litamtoa roho! Alichoamua ni kwenda nae anavyotaka ili walau siri ijifichefiche japo ndio hivyo mama kijacho haeleweki muda wowote anaweza kutoboa siri and she don't care!.
Alivyoniuliza mimi afanye nini kusema ukweli sijapata jibu lakumjibu ili aweze kujikwamua hapo!, wadau vipi jamaa afanye nini..??