Lina maana ya mkeo
Ni jina la mke halali wa Mtambuzi, members wote wanajua hivyo.
Pia ni utambulisho wa mama mzazi wa rais wa Kenya, UHURU KENYATTA kutoka Gatundu ya Kusini nchini Kenya.
.Swali la nyongeza kuhusu Mama Ngina?
dah hata mimi nilikuwa sijui kumbe ndo hivo?asi nitjaribu leo kumuita mama ngina...ila naamnianaweza kunijeruhi