Mama: Mwanangu ukioa usimuoe mwanamke wa namna hii!!

Mbona mie nimeoa hivo sioni shida,, inategemea tabia ya MTU mwenyewe
 
Kikubwa ni Upendo na kuelewana, hayo sijui same career, kipato, kabila nk hayana maana true love inapokuwepo .
 
Dunia imebadilika sana ushauri wa wazazi umepitwa na wakati ila kiukweli nimeona ni wa mhimu sana kuliko tunavyofikiri na ukibishananao watakuruhusu ila matokeo utayapata muda sio mrefu
 
Wako wachache sana mkuu! Mungu tuu atupe ujasiri...

Ila juzi kuna mzee kaniambia ukiona binti ana nusu ya vitu unavyotaka basi huyo huyo muoe...

kuna vitu vidogo vidogo ambavyo mtu hawezi kuwa mkamilifu...kila mtu kazaliwa na mama yake na kila mtu amepata malezi kwa namna yake tena katika mazingira tofauti...

Naamini kuna vitu viko general ndo unatakiwa kuwa navyo makini tuu katika uchaguzi wa nani wa kuoa. Vingine ni sub-sidiary tuu hivi mnavumiliana na pengine vinarekebishika...

Ni mtazamo wangu tuu!
Sawa mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom