Mama: Mwanangu ukioa usimuoe mwanamke wa namna hii!!

Nafikir likifika swala lakuoa wamama ni watata sana kushaur vijana wao waoe kabila gani na bint gani, Nafikir ushaur huo wanaoutoa kwa vijana wao wakitaka kuoa watoe pia kwa mabint zao wakitaka kuolewa waone kama hawaozei nyumbani, swala la kaz cjui Dactar na Dactar au mwalimu hakuna uwiano Wa heshima itashuka cjui zarau nafikir vyote vinatokana na tabia ya bint mwenyewe kwa mchumba wake au mumewe, kusema walimu wanamuda mwing wakulea watoto kwan hao walimu hawaw kazin had sakumi, na huyu Dactar ye anakua wap muda wote, ukitaka kuoa usiangalie kaz yake wala nn angalia upendo kat yenu na pia heshima kat yenu, pia wakina mama msipende kuwachagulia vijana wenu wake wakuoa mana akija kusota ww lawama kwako
 
Ni ushauri mzuri kuwa mwanaume kama kichwa cha familia na provider ni vyema basi ukamzidi mkeo kipato ili umtunze yeye na familia, na mwanamke basi ajitambue jukumu Lake awe karibu na familia
Japo ni ngumu kupata vigezo vyote ambavyo me/ke unataka ndo mana watu wanacompromise
NB;Nchi nzima hawawezi oa walimu.. Ndoa zipo kwa watu wa kada ma shughuli za aina zote
 
Mama wants a daughter in law who is submissive to her husband, a career woman enters marriage as an equal partner and friend who is ready to share up and downs with the person she has chosen.

There are cons and proms on both ends, a submissive woman will never ask for your where about, she will have time to be a home keeper, your socks will be washed, shirts ironed, fresh and warm meals will be available. A career woman will never have time for much of domestic chaos, though both of you can find an alternative, a career woman will want to know your where about, as a friend you will discuss your work and life concerns and solve them together.

Another advantage of a submissive woman in most cases is a religious person, though career women can be prayer worriers too. End of the day it is up to you to decide on which pair of shoes to put on.
Thanks alot Sky Eclat for ur good narration and advice as well!

Big Up!!
 
Hapa kinachozungumziwa ni aina ya kazi na utofauti wa kipato baina ya mume na mke, kwa jamii nyingi za kiafrika ama tz mara nyingi KE akiwa na kipato sawa ama kamzidi ME kuna dharau fulan inakuwepo tena kutoka ndan ama nje sometimes ukitokea mkwaruzano kidogo watu wa nje ama ndugu utawasikia wakimwambia asikubabaishe kama hela na ww unayo kama yy au umemzidi kwa hiyo generally heshima inapungua BUT MM NAAMIN utofauti wa kipato sio kikwazo as long as KE kama anajitambua anajiheshimu na anaelewea nafasi ya ME kwenye familia na sio kipato chake
Hapo Ke ndo anakuwa determinant ya how ndoa iwe,akiamua kuivuruga nyumba hauwezi kukalika!
 
Inawezekana bi mkubwa anahofia itakavyokuwa ikitokea wote wako shift ya usiku nani atabaki na familia? Ila kwa maana ya kipato sio issue, suala ni kujielewa na kujitambua tu hapo.
Ni kweli!itakuwa anahofia hivyo.
Japo c vizur ushauri wake kuupuuza kwani yeye ushauri wake umeBase kwenye Experience ktk maisha(Ameishi muda mrefu na kuona mengi pia)
 
Thanks alot Sky Eclat for ur good narration and advice as well!

Big Up!!
My pleasure mkuu, and one more thing, with a submissive woman, 100-80% of home budget will be on you, and not your house alone, she has a family who know that their daughter is married to somebody. A career woman may decide to share half of her salary in the house and still will have enough to support her family and her personal needs.
 
My pleasure mkuu, and one more thing, with a submissive woman, 100-80% of home budget will be on you, and not your house alone, she has a family who know that, daughter is married to somebody. A career woman may decide to share half of her salary in the house and still will have enough to support her family and her personal needs.
Gud!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom