Mama muuza mkaa na maisha ya kifahari

Mama muuza mkaa na maisha ya kifahari

Iliwabidi mfikiri ndipo muamue,bora pazia kuliko bendera kufuata upepo!
Sasa tazama mmecheza pata potea,poleni wakuu wenzangu kwa yote yanayowakuta!!
 
Baadaye nitakuja na mada ya 'Mbeba Maboksi na Maisha ya Kifahari' teh teh teh

Au sijui nianzishe ya 'Maisha ya Kifahari ya Richard Mugizi'.......ila hii inaweza kuwatoa roho watu bure.
 
Kipendacho roho dawa,mpe Mahaba umpendae........kwa moyo woteeeeeeeeeeeeeeee bila kumbania........
 
Jazba unazijua wewe? Umehoji mahaba yangu kwa Lowassa nimekuhakikishia kuna ni kweli, tena sio mahaba pekee bali ni MAHABA MAZITO!
Ulitaka jibu gani?
#KafieMbali
nifah usiruhusu mamluki wakuharibie siku yako please
 
Last edited by a moderator:
↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓

Hongera kwa kuudhihirishia umma WEHU wako.
#KafieMbali
Mpaka kufika 25 Oct tutakuwa tumeshuhudia mengi.... hii nivita ni sawa na abiria ndani ya basi wakati mnatoana meno ...tajiri anakula ulojo na mkewe, na fedha inaingia.
 
Alisahau kusema south alifata nini, na alikua na nani
ni lowasa tu, ni mabadiliko tu....
huyu huyu mwizi ndo tunamtaka
 
Ndio maana aliasi, huyu ni wakala wa shetani, tena anapepo vurugaji.
Kujidai mtakatifu kumbe ni mwovu kuliko shetani. Mi ndo mana hawa wanaojidai watakatifu na kusimamia principles za kijinga ni hatari kuliko shetani
 
Mkewe alisema anauza mkaa. Mumewe anasema wanashindia mihogo.Ni couple ngapi za wauza mkaa
wanaoshindia mihogo huenda South Africa kwa mapumziko?

Ni familia ngapi za wauza mkaa na washindia mihogo huacha nyumba zao na kwenda kuishi Serena Hotel?Mmeshaona familia ngapi za watu waina hii huweza kuita press conference vyombo karibu vyote vya habari nchini ili kuwapasha wanaoshindana nao ki mitazamo?.

Kwa uongo huu,kabla hujanyooshea wengine vidole jitathmini kwanza wewe

Ukistaajabu ya Musa atayaona ya Firauni Tanzania ni zaidi ya uijuavyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom