Biggs
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 2,125
- 2,410
Tumemsikia Tumemwelewa, Tumeshakata Shauri Haturudi Nyuma: Kura yangu na Familia yangu Kwa Lowassa.
Big Up !! It doesnt matter what he said !!!
Tumemsikia Tumemwelewa, Tumeshakata Shauri Haturudi Nyuma: Kura yangu na Familia yangu Kwa Lowassa.
duuuh!!! hapa ndipo ninapo muelewa Lowasa uzuri pale anaposema HAYA MNAYOMPA NI MAHABA NA SIO MAPENZI
Wana mahaba nipofue..... mahaba yamewavua akili
....
Naam nina MAHABA MAZITO kwa Lowassa, kuna tatizo kwani?
Tokeni kabisa JF maana nitazidi kuiunguza mioyo yenu zaidi na zaidi maana kila uchwao MAHABA yangu kwake yanazidi kuongezeka!
Maria anasemaje?Sema Dada maria wa serena amemaliza kila kitu
Jazba unazijua wewe? Umehoji mahaba yangu kwa Lowassa nimekuhakikishia kuna ni kweli, tena sio mahaba pekee bali ni MAHABA MAZITO!Mbona unajibu kwa jazba..
Nilitaka kukuambia lakini naogopa.Maria anasemaje?
Ntakuwa mwehu nikiendelea kujibizana na ww..Kila la kheri
Ntakuwa mwehu nikiendelea kujibizana na ww..Kila la kheri
Jazba kwa mashabiki wa EL sio swala la kuhoji, kwani we hujui mahaba upofu. Chongo huwa kengeza....Mbona unajibu kwa jazba..
we utakuwa na kipande cha mavi kwenye ubongo ndo mana unaongea shit..kwaheri
↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓Ntakuwa mwehu nikiendelea kujibizana na ww..Kila la kheri
Hongera kwa kuudhihirishia umma WEHU wako.we utakuwa na kipande cha mavi kwenye ubongo ndo mana unaongea shit..kwaheri