Mama mkwe nakupenda sana ila bora uende

Mama mkwe nakupenda sana ila bora uende

Muanzisha mada usipotumia busara maamuzi yako ndo itakua talaka yako.
Sidhani kama ingekuwa mama yake angekuja na hii mada iliyojaa dharau siku huyo mama akija anaumwa atamhudumia kweli au huyo kijana akifariki na undugu si ndio umekufa maana kila anachofanya anahesabu
 
Sasa ukute yeye ndiyo muwezeshaji katika family mwanamke nikujuta tu hata kumi ya mama shida mtu kaka zako wampe hajui kama mke naye kazaliwa anapaswa kumuhudumia mamaye hata kwa kidogo, Mungu atusaidiye katka ndoa zetu
Amen, otherwise mmh
 
Hapo tatizo ninaloliona mimi SIO MAMA MKWE WALA NINI. Tatizo hapo limetokana na MWANAMKE KUFANYA KAZI, NA MWANAUME KUWA JOBLESS.
Imeniuma sn nikiwa kma mwanaume, ila kiukweli NAJUTA KWANINI NIMEOA. Mwanaume labda uwe extraordinary kwenye kila kitu, ila ukishakuwa huna kitu/ huna income, ni matatizo sana.
Wewe dada ni MNYANYASAJI tu, huna lolote

Duh

Yaani hukumuelewa alichoandika ndio ukaenda mbali hivi, kwani ilikuwa lazima aandike kila kitu!?

Ila nimeona amekujibu vizuri tu, acha kukurupuka
 
hahahah kuna posti huna budi kucheka tena kwa sauti [emoji23]
Hapana mkuu... Inaonyesha hana ugonjwa wowote anapaswa awe kwake km hapapo ajengewe.. Ila utu uzima ukikolea au maradhi ndio itapendeza aje akae na wanae
 
Hata weza kukaa hapo akiwa mgonjwa hivyo mzima tu unaona hiyo mishe akija mgomjwa akamaliza week anabahati(kwa ninavyojua wagonjwa)
Kifupi ukishaoa siku hizi jiandae kufarakana na familia yako wachache wanabahatika kupata wake wengine ni shida tu kama aliyeoa mleta mada
 
Tatizo kuna muda mtu unawaza, nikilianzisha hapa atakayeumia zaidi ni mume. Ni mtihani mkubwa sana inapofikia stage mume kutakiwa kuchagua side ya kusimama nayo kati ya mama na mke. Na kwa situation kama ya lady hapa, it's clear mume atasimama na mama yake + atasema mkewe ameanza visa kisa yeye anaumwa. Basi tafrani tu
Na kama utaolewa na kutaka kushindana na mama kwamba yupi ni yupi hiyo league hutashinda maana ni wachache sana watakao acha mama yake atembee kainama kisa akufurahishe mke aisee never mke baki kuwa mke na mama abaki kuwa mama kama ambavyo na mme atamheshim mama yako bila kujilinganisha nae kwanza ni dhambi kabisa kujilinganisha na wakwe wale wanapaswa kuwa juu na kushughulika nao ni kwa busara sana na kama walivyoumia wakati wa kutulea nasi kuna wakati tutaumia wakati wa kuwalea na tutavumilia mpaka wakati utapofika kama walivyovumilia hadi wakati ulipofika
 
Please, keep in mind pia, not all the time ntasacrifice furaha yangu kisa mama yako, Hell No. Kila mtu ana level ya Uvumilivu ambayo anytime inaweza kuexpire. Sasa sio kina mama wakwe waharibu ndoa zetu tuwangalie tu kisa ni mama wa mume, hapana kwa kweli. Na wenyewe wawe na utu na sisi pia, wanavyotutreat sisi ndo wanavyowish mabinti zao wawe treated na wakwe zao huko walipoolewa?. Uvumilivu uwe wa pande zote mbili, kwa sababu wote tuna mapungufu. Mimi siwezi kulingana na mama yake, na mama yake hawezi kulingana na mimi pia, so kila mtu ajue nafasi yake na mipaka yake ni ipi, then tugawane ustaarabu. And yes wapo wanaume ambao wanasimamia ukweli daima, mama akikosea anaambiwa na mke ukikosea unaambiwa tu, sio tu muda wote achekewe kisa ni mama while analeta uharibifu. Mama ana umuhimu wake, na mke ana umuhimu wake pia.
 
Pole sana Dada! Japo cjawah kuwa kwenye ndoa lakn nakushauri Fanya hiv;mualike rafiki yako wa kike cku yoyote ila kwanza mpe somo ili ajue kuwa mnaenda kucheza calculated movie yenye scenarios za kjanja,muda wa kupata chakula uweke chakula kwenye plate ya mumeo na uhakikishe Mama Mkwe anakuwepo mezani muda huo na ikiwezekana na mumeo awepo,then rafik yako aropoke "mbona umemuwekea mumeo chakula kdogo sana,kumbe ndvyo unavyomnyanyasa mumeo namna hiyo ndyo maana shemeji hanenepi...?" Majibu utakayompa yawe ya upole na ukarimu na yenye kumuelewesha.Mwishowe huyo rafiki yako akwambie "ckujua kama utaniwangu ungekukwaza na kukuumiza moyo kiasi hicho" Hapo vitendo vitakuwa vmezungumza kumbuka 'action speaks louder than words" Hapo Mama Mkwe atakuwa amejifunza kuwa "kumbe hata mimi huwa namkera sana kwa kumwambia vile ila huwa ananistahi tu" Pia kuwa makni sana na hyo familia kwa kuwa inavyoonekana Mama Mkwe yupo mbioni kuurudisha uhusiano kat ya mwanae na mpnz wake wa zamani,kwa kfupi in kwamba Mama Mkwe anamthamini sana Mkwe wake wa zamani kuliko wewe kwa kuwa anamsaidia kaz huku akisahau kuwa ww ndye m2 pekee ambae huwa unamuhudumia mwanae hata kumtawadha pindi inapolazmu.
 
Wakwe wengine wanazidi jamani huyo mwanamme naye yy wakati yupo kwao bibi yake alikuwa akimfanyia hivyo mama yake? Tatizo lipo kwa huyo mme hajijui kama ni mme yawezekana anajiona ni mwanamme kwanini kama ni maneno ambayo yatamuudhi mkewe asimwambie mama tuongee mengine hayo yaache, unajua wamama wengi husahau kuwa na wao wana watoto wakike hivi mwanao wakike aje akupe habari za mkwewe mama unajisikia vipi kuvumilia kupo lakini kuna mipaka yake, wewe mdada ukishindwa kuongea na mmeo nenda kwa mchungaji wako au shehe wenu kule busara zitatumika, maana unaweza mueleza huyo baba ukazua mengine angalia jinsi alivyo huyo mmeo asiwe wa huko kaskaz kanda ya ziwa mijeuri hatari dada zao wana midomo halafu wao ukute ndoa zimewashinda utajuta
 
Please, keep in mind pia, not all the time ntasacrifice furaha yangu kisa mama yako, Hell No. Kila mtu ana level ya Uvumilivu ambayo anytime inaweza kuexpire. Sasa sio kina mama wakwe waharibu ndoa zetu tuwangalie tu kisa ni mama wa mume, hapana kwa kweli. Na wenyewe wawe na utu na sisi pia, wanavyotutreat sisi ndo wanavyowish mabinti zao wawe treated na wakwe zao huko walipoolewa?. Uvumilivu uwe wa pande zote mbili, kwa sababu wote tuna mapungufu. Mimi siwezi kulingana na mama yake, na mama yake hawezi kulingana na mimi pia, so kila mtu ajue nafasi yake na mipaka yake ni ipi, then tugawane ustaarabu. And yes wapo wanaume ambao wanasimamia ukweli daima, mama akikosea anaambiwa na mke ukikosea unaambiwa tu, sio tu muda wote achekewe kisa ni mama while analeta uharibifu. Mama ana umuhimu wake, na mke ana umuhimu wake pia.

Peerfect! [emoji108]

Yaani mtu ufe kihoro kwa kuvumilia manyanyaso, halafu kwenye nyumba yako mwenyewe.
You are intimidated in your own home just because...asee!
Kumbuka a wife has a right too, as a wife.
Kama mama mwenye nyumba hauna furaha, familia nzima itakuwa haina furaha. Kama kuvumilia ujue mwisho, kama hujui mwisho kuna siku utabwaga manyanga. Hakuna mwenye moyo wa chuma.
 
Huyo mama kama ana watoto wakike anawapa laana huko waliko olewa nawenyewe watafanyiwa hivyo hivyo, unajua wapo wakwe wengine huona wivu kwa wakamwana kama wanafaidi sana kwa watoto wao hivyo anataka apewe sawa na mkwewe na ingekuwa hivyo watu wangeoana ndugu ili mali isiende mbali.
 
Ushauri mbovu kitu chenyewe kidogo
Mbovu kwa upande wako mkuu. Kila mtu ana namna yake ya kusolve matatizo. Na sio kitu kidogo kama unavyodhani. Kikikukuta qewe ndio utajua kama ni kidogo au la! So just relax.
 
Peerfect! [emoji108]

Yaani mtu ufe kihoro kwa kuvumilia manyanyaso, halafu kwenye nyumba yako mwenyewe.
You are intimidated in your own home just because...asee!
Kumbuka a wife has a right too, as a wife.
Kama mama mwenye nyumba hauna furaha, familia nzima itakuwa haina furaha. Kama kuvumilia ujue mwisho, kama hujui mwisho kuna siku utabwaga manyanga. Hakuna mwenye moyo wa chuma.
Kwa kweli tugawane tu ustaarabu. Sielewi kwa nini wamama wa wanaume huwa wanahisi wao ndo wana rights zaidi kwenye ndoa za watoto wao kuliko wake au mama za wanawake. Mbona mama zetu hawaji kuleta usumbufu Wenyewe hawana haki juu yetu watoto zao wa kike? Kama ni kwenye ndoa, wote mume na mke wana equal rights Eishhhh
 
Yap! [emoji106]
 
Huyo mama kama ana watoto wakike anawapa laana huko waliko olewa nawenyewe watafanyiwa hivyo hivyo, unajua wapo wakwe wengine huona wivu kwa wakamwana kama wanafaidi sana kwa watoto wao hivyo anataka apewe sawa na mkwewe na ingekuwa hivyo watu wangeoana ndugu ili mali isiende mbali.
Ukweli mchungu ni kwamba kuna wamama wengi tu wanawish watoto wao wa kiume labda wangezaaga tu huko nje bila kuoa afu wawaletee watoto waishi pamoja (mama, mtoto na wajukuu) mali za kijana wake zisiende mbali eti mweeh. Wewe unatamani uishi milele na mwanao, hao wajukuu zako hawatamani kuishi na mama zao? Ubinafsi tu na roho za kimaskini
 
Kwa kweli tugawane tu ustaarabu. Sielewi kwa nini wamama wa wanaume huwa wanahisi wao ndo wana rights zaidi kwenye ndoa za watoto wao kuliko wake au mama za wanawake. Mbona mama zetu hawaji kuleta usumbufu Wenyewe hawana haki juu yetu watoto zao wa kike? Kama ni kwenye ndoa, wote mume na mke wana equal rights Eishhhh
Roho mbaya tu hata baba wakwe wasiku hizi wamo kweli hata anadhubutu kumwambia mwanaye oa mke wapili, unategemea atamshauri mwanaye cha maana huyo baba
 
Peerfect! [emoji108]

Yaani mtu ufe kihoro kwa kuvumilia manyanyaso, halafu kwenye nyumba yako mwenyewe.
You are intimidated in your own home just because...asee!
Kumbuka a wife has a right too, as a wife.
Kama mama mwenye nyumba hauna furaha, familia nzima itakuwa haina furaha. Kama kuvumilia ujue mwisho, kama hujui mwisho kuna siku utabwaga manyanga. Hakuna mwenye moyo wa chuma.
Hlf ajabu moja mbona mamako wewe haji kumkera yeye.... cjaelewaga hii makitu ya mama wa mwanaume kukiona ana rights za kufanya atakavyo... mfyuuu zao
 
Back
Top Bottom