NYEKUNDU YA BIBI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 2,307
- 3,020
Ila ni kweli pia na wew au ninyi wanawake wa hum jf ni mamamkwe wajao sasa mkianza kusem tunawachkia mamamkwe xjui ninyi mtafanyw nin maan waheng wanasem unavotembea ni lazim mguu mmoja ubaki nyuma na mwingin mbele ko huu wanyuma utakuja kuwap majibu ya umamamkwe vizuri sahihixhen manen na mioyo yenu mapema