Haha na usemi wao "mimi ndo mama ake, nimembeba tumboni miezi 9, sijui nimemsomesha kwa tabu, mali za mwanangu" woiii. As if wanaotuzaa sisi wenyewe wanabeba mimba zao mgongoni na wanajifungua after 2 months. Mtu anakazania nimemsomesha kwa tabu, sasa sijui alitaka mke ukutane na mumeo akiwa mdogo uchangie kumsomesha pia ili uwe na right juu ya mumeo pis? Na akifika kwa mwanae afanye anavyotaka bila kuulizwa so far mali zote ni za mwanae (they wish), Yani mke unaonekana kama kizuizi cha wao kuenjoy na watoto wao. Nafikiri from tunavyoanza kulea watoto wetu, let us prepare ourselves mentally/psychologically and spiritually kwamba watoto tunaowalea, siku moja hawatokuwa watoto wetu tu, bali watakuwa waume na wababa kwa watoto wao. We can't ignore their sacrifices and tunawashukuru milele, but watuache na sisi basi tuplay part zetu kwenye maisha ya watoto wao peacefully. It's too much, Abeg