Mama mkwe nakupenda sana ila bora uende

Mama mkwe nakupenda sana ila bora uende

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mie nitafuata wosia wa mama yangu. Aliijua mipaka yake, hatoi ushauri hadi umemuomba na unakiwa ni wa kujenga. Tena safari safari za kwa wanae hakuwa nazo, anasema "mje mnisalimie mkipata nafasi maana kupishana pishana koridoni na wakwe zangu siwezi nawaacha mpumue".

Hivi ndio inatakiwa kwa kweli.
 
Duh ! Pole sana maana huwa kama mavinyonga nisije nikatoa maneno machafu kuhusu hawa watu nikapata mikosi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mie nitafuata wosia wa mama yangu. Aliijua mipaka yake, hatoi ushauri hadi umemuomba na unakiwa ni wa kujenga. Tena safari safari za kwa wanae hakuwa nazo, anasema "mje mnisalimie mkipata nafasi maana kupishana pishana koridoni na wakwe zangu siwezi nawaacha mpumue".
Yani wamama waliostaarabika ni wachache. Na mama wa hivyo hadi mnammiss wallah, mnatamani muendelee kukaa naye. Subiria sasa kina mama haambiliki, ukisikia anakuja unapata na tumbo la kuharisha, akiaga anaondoka unasema "Jehova u mwema:
 
Mh asee, yaani ni makusudi kabisa kumfanyia hivyo kwa sababu anazojua huyu ma mkwe. Asingeweza kufanya hivyo kama angetaka nyumba ya mwanae iwe na amani na furaha. Ana lake jambo.
Imagine mtu anakufanyia hayo yote halafu bado unatakiwa kumheshimu kama mama mkwe, na ku make sure mwanae anapata mahitaji yote.
Ama kweli wanawake tuna nguvu.
Huyo mama anataka tu kumdestruct mka mwana wake, huyu akipanic ndo bi mkubwa anakuwa satisfied. Ajifunze kumuignore, Yani ajifanye kama haoni visa vyake (japo roho inauma). Tena aongezee na rate ya kumchekea. Ni Sawa tu na michepuko inavyoletaga visa ili kumchanganya mke. Ni kuwa na akili njema tu, maana huwezi kumshinda mpumbavu kwa kuwa mpumbavu pia
 
Asantee!, Inabidi kuishi kwa akili kumshinda mpumbafu.
Aki ignore ma mkwe atajishtukia aone hafanyi vizuri, kama ana ufahamu lakini.
Na amemkuta bibie Lady J mtaratibu na amemvumilia. Kuna wengine si rahisi kuvumilia huo upuuzi kwa muda wote huo. Wangeshalianzisha.
 
Yani wamama waliostaarabika ni wachache. Na mama wa hivyo hadi mnammiss wallah, mnatamani muendelee kukaa naye. Subiria sasa kina mama haambiliki, ukisikia anakuja unapata na tumbo la kuharisha, akiaga anaondoka unasema "Jehova u mwema:
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani dota umenifanya nicheke usiku wote huu!!
 
Asantee!, Inabidi kuishi kwa akili kumshinda mpumbafu.
Aki ignore ma mkwe atajishtukia aone hafanyi vizuri, kama ana ufahamu lakini.
Na amemkuta bibie Lady J mtaratibu na amemvumilia. Kuna wengine si rahisi kuvumilia huo upuuzi kwa muda wote huo. Wangeshalianzisha.
Tatizo kuna muda mtu unawaza, nikilianzisha hapa atakayeumia zaidi ni mume. Ni mtihani mkubwa sana inapofikia stage mume kutakiwa kuchagua side ya kusimama nayo kati ya mama na mke. Na kwa situation kama ya lady hapa, it's clear mume atasimama na mama yake + atasema mkewe ameanza visa kisa yeye anaumwa. Basi tafrani tu
 
Kazi kwa kweli, wakati mwingine bora sana kila mtu akikaa kwake. Kama kutembeleana siku mbili tatu tu.
 
Yaani wewe ni mama na unashindwa kumuelewa mama wa mwenzio? Mie hata paw aseme anataka kulala guest room na mama yake sina neno kabisa. Tena ningemuambia mama mpakulie mwanao chakula ili mwanae akibishana kula mie nicheke kimoyomoyo na kumtania badae tukiingia chumbani. Mama hata wa kwako akikukosoa utaona sawa, fanya mama mkwe kama mama yako. Akiongea la kukukera cheka tu, yatapita.
 
Yani hapana kwa kweli, Mungu atuepushie
Sasa ukute yeye ndiyo muwezeshaji katika family mwanamke nikujuta tu hata kumi ya mama shida mtu kaka zako wampe hajui kama mke naye kazaliwa anapaswa kumuhudumia mamaye hata kwa kidogo, Mungu atusaidiye katka ndoa zetu
 
Back
Top Bottom