Najua hilo but kabla hujamjua mmeo ulimkuta ana kwake?Hapa ni kwetu sote
Nimejitahidi Mkuu na nomejishusha sana,ila linapokuja suala la yeye kumzungumzia mwanamke mwingine wa mwanae ndani ya nyumba yangu hakika nakosauvumilivu,na kwa bahati mbaya Mimi huwa sina asili ya kulia lia labda ningekua hivyo ningekua naliia kupoza uchungu ninaousikiaLadyAJ nikushauri kitu, achana na huyo mama mkwe ndivyo walivyo. Weka nta masikioni kwako na muonyeshe upendo utakuwa umeonyesha usomi wako. Usipigane na ukuta katika maisha yako. Usisahau hata sisi mama zetu wakiwa na wake zetu wanatuona ni watoto wadogo ingawa tuna wajukuu.
Nafkili ukirudia kusoma swal lang utajua ninakoelekea na hapo ndo utagundua ujinga wakoMuulize swali kama unaakili siyo kama upo chekechea. Kama yupo kwake si angekuwa ameoa na siyo kaolewa? Unadhani mama mkwe angejipeleka sehemu isiyo ya mtoto wake?
Ndio Leo naisubiri kwa hamu jioni nimwambie, Mimi nimekaa miaka na miaka na wadogo zake mpaka mmoja kamaliza chuo na mwingine mwaka wa pili lakini huyu mama acha waseme kua sipendi ndugu ila lazima aendeMwambie mmeo nazani km atakua mwanaume mwenye msimamo atamwambia mama ukweli maana kuna siku utakuja kushindwa kuvumilia utaonekana huna adabu bure
Always am natural to my family na najitahidi sana kwa hilo unalosema ila sasa yananizidiKama unaweza jitahidi uwe natural usibadilishe ratiba zako za kila siku kwa sababu ya mtu ambaye sio mkaaji.Na jitahidi hayo maneno yaingie sikio moja na kutokea lingine.Timiza wajibu wako na Mungu atakusimamia.
We we wee. Ushauri gani huo. Hivi unawajua wakwe wa hivyo huwa hawana dogo unaweza mwambia hivyo ukashangaa familia nzima inajenga chuki akabaki huyo mume tu.Piga chini huyo mama mkwe... mwambie kwendraaaaaaa zako.
Mtanga chonde chonde mama wa mwenzio ni wa mwenzio tu tumehusiwa subra dada subiri dad subiri subira ina malipoHuyu anasepa soon labda kama sikuzaliwa Tanga maana kanifika shingoni sasa
We we wee. Ushauri gani huo. Hivi unawajua wakwe wa hivyo huwa hawana dogo unaweza mwambia hivyo ukashangaa familia nzima inajenga chuki abaki huyo mume tu.
Cha muhimu atumie busara ili huyo mkwe apate kuondoka na si vinginevyo.
Kwani we jinsia gani. Hebu tuanzie hapo kwanza.Uoga wako ndio kaburi lako,
kama mbwahi na iwe mbwahi tu hakuna namna.
Huwezi jifanya kijogoo ndani ya mji wangu eti kisa
ulinizalia mwanao....nasema tena piga chini mama mkwe.
Kuna jamii fulani huwa wanashauri vijana wa kiume/kike kuoa ama kuolewa na watu ambao either hawana wazazi kabisa au wana mzazi wa kiume tuu. Ktk mazingira ya mtoa mada waweza kuona hekima yakeHawa kina mama mkwe wanavuruga sana nyumba xa watu, wamekosa HEKIMA kabisa
Tanga kitu gani wewe dada unaonekana huna busara umesahau ya kuwa mtoto kwa mama hakui ama?? Na wewe umesema mumeo ni mgonjwa sasa kama ni mgonjwa anapaswa kuwa na huruma na mwanae mara kumi zaidi sasa what is your point kuhoji huduma unazompa mwanae?? Ukweli ni kuwa wewe huna mahusiano mazuri na mkweo since day one na haya unayafanya kama sababu ya kutoa makucha yakoHuyu anasepa soon labda kama sikuzaliwa Tanga maana kanifika shingoni sasa
Sema vyovyote vile unavyojisikia kusema lakini si mama mkwe kuniongezea mwanamke mwingine kwenye ndoa yangu NEVER EVER,kuto kukua kwa mtoto wake si kibali cha yeye kukaa na kumzungumzia mama wa mtoto wa mume wangu,hapa anatuanzishia migogoro ambayo nikiichekea hakika ntakuja kujuta,Mimi sitafutwi kupendwa ndugu yangu naitafuta heshima na utukufu kwa Allah maana dunia hii huwezi pendwa na woteTanga kitu gani wewe dada unaonekana huna busara umesahau ya kuwa mtoto kwa mama hakui ama?? Na wewe umesema mumeo ni mgonjwa sasa kama ni mgonjwa anapaswa kuwa na huruma na mwanae mara kumi zaidi sasa what is your point kuhoji huduma unazompa mwanae?? Ukweli ni kuwa wewe huna mahusiano mazuri na mkweo since day one na haya unayafanya kama sababu ya kutoa makucha yako
Siyo mpuuzi tu wewe ni pumbavu kabisa. Akili zako ni ndogo kama maisha ya funza. Hivi ktk mjadala huu kulikuwa na sababu ya kuuliza huo ujinga wako?Nafkili ukirudia kusoma swal lang utajua ninakoelekea na hapo ndo utagundua ujinga wako