Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamani u mama mkwe una kazi wakati mwingine. [emoji28]
Hahahaa eti ana nguvu za kutafuna ukoko mweee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamani u mama mkwe una kazi wakati mwingine. [emoji28]
Hahaha, Ma mkwe bado anadai atii! [emoji2]Hahahaa eti ana nguvu za kutafuna ukoko mweee
Hakuna anachosema zaidi ya kucheka Cheka tu
Hakuna anachosema zaidi ya kucheka Cheka tu
Na mwanaume akishalegea tu basi nyumba inakuwa hekaheka. Afu hatuwezi jua wanaongeaga nini, ndo maana mama anazidi kujaa tu. Mtu hadi saa 5 za usiku eti mnaongea mmmhMh!, kazi unayo. Angetakiwa kuwa serious na hili kama mkuu wa nyumba ili kulinda familia yake. Wanaume wengine, meeein!
Umekosea kutaja eneo unalotokea nilikuwa nataka nitoe Ushauri wanguHuyu anasepa soon labda kama sikuzaliwa Tanga maana kanifika shingoni sasa
Na mwanaume akishalegea tu basi nyumba inakuwa hekaheka. Afu hatuwezi jua wanaongeaga nini, ndo maana mama anazidi kujaa tu. Mtu hadi saa 5 za usiku eti mnaongea mmmh
Unadhani mume angekuwa anamkatalia hivyo vitu mama yake, huyo mama angezidi kujichetua? Usikute na yeye anamshtaki mkewe kwa mama ake. Hatukatai mama mkwe kuwasiliana na mzazi mwenzie na mwanae, si ana mjukuu wake kule. Lakini ndo unaongea naye mbele ya mka mwana wako + kumpa mtoto wako aongee naye, bado kila saa kumsifia mjukuu wako wa nje, that's hurts a lot kwa mke. Hata mimi nisingefurahiaYap, umeiweka vizuri zaidi. Mwanaume akilegea na nyumba inalegea.
Na kama anacheka cheka tu, pengine akiongea na mama yake hatoi support kwa mkewe hata kama mama yake anamsema, na ndio maana maana ma mkwe anazidi kujaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ole wako ukasumbue watu while una nguvu za kutafuna ukoko[emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ole wako ukasumbue watu while una nguvu za kutafuna ukoko[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Unadhani mume angekuwa anamkatalia hivyo vitu mama yake, huyo mama angezidi kujichetua? Usikute na yeye anamshtaki mkewe kwa mama ake. Hatukatai mama mkwe kuwasiliana na mzazi mwenzie na mwanae, si ana mjukuu wake kule. Lakini ndo unaongea naye mbele ya mka mwana wako + kumpa mtoto wako aongee naye, bado kila saa kumsifia mjukuu wako wa nje, that's hurts a lot kwa mke. Hata mimi nisingefurahia
Wewe acha tu hizo kuna wanaume wachoyo mpaka kwa wakwe zao akifika nyumban utaambiwa kaja kufanya nini sijaoa ukooDuh. Wanawake wanajuana wenyewe tabia zao. Sisi wanaume mbona hatuna tabia ya kuchukia wakwe zetu.?