Umetisha kupewa fedha na kuja kuweka uzi halafu tena live!!! Nenda ukawape wajanja wale hela ya dada yako.Ndiyo, natoka Swanga na ninakuja. Nisaidieni mawazo nikiwa hapao mjini. Nakumbuka mara ya mwisho nilifikiaga Keko Magorofani. Hodiiíí!
Ndiyo, natoka Swanga na ninakuja. Nisaidieni mawazo nikiwa hapao mjini. Nakumbuka mara ya mwisho nilifikiaga Keko Magorofani. Hodiiíí!
Ndiyo, natoka Swanga na ninakuja. Nisaidieni mawazo nikiwa hapao mjini. Nakumbuka mara ya mwisho nilifikiaga Keko Magorofani. Hodiiíí!
Huyu fix tu hizi, hana lolote!
Sasa huko kwenu hakuna benki? Si uende ukai-deposit? Yaani wewe unashangaza sana, akili ya kutafuta mtaji hukuwa nayo hapo mwanzo mpaka Mama yako mdogo alivyokupatia mtaji. Bado tena akili ya kufungua biashara/mradi wa kujiongezea kipato huna ila akili uliyonayo ni ya kuja Dar tu. Uliambiwa kuwa huku Dar ndio sehemu ya kuhiji sharti ufike? Yaani no ideas, no plans, no strategies, no creativity kazi ni kukariri na ku-copy na ku-paste. Kaa huko huko kwenu maisha ni popote wewe!Nina Cheque ya 12m
mmh, wanavyokusubiri kwa hamu! sijui kama watakuacha hata na shillingi moja, bora ungekuja mwanza tukupeleke malaika, villa park au fussion club
Sasa huko kwenu hakuna benki? Si uende ukai-deposit? Yaani wewe unashangaza sana, akili ya kutafuta mtaji hukuwa nayo hapo mwanzo mpaka Mama yako mdogo alivyokupatia mtaji. Bado tena akili ya kufungua biashara/mradi wa kujiongezea kipato huna ila akili uliyonayo ni ya kuja Dar tu. Uliambiwa kuwa huku Dar ndio sehemu ya kuhiji sharti ufike? Yaani no ideas, no plans, no strategies, no creativity kazi ni kukariri na ku-copy na ku-paste. Kaa huko huko kwenu maisha ni popote wewe!
Hahahaaaa.... Huyu aje tumpeleke Ukerewe akavua samaki tu!
Welcome in da hot city....ukifika tu naomba utujulishe
Sijui kwa nini nakuhurumia. Si ungenunua kubota ukaanza kilimo cha umwagiliaji?