Mpui Lyazumbi JF-Expert Member Joined Sep 1, 2010 Posts 1,910 Reaction score 445 Apr 23, 2013 Thread starter #41 Arushaone, unawafahamu watu wa Sumbawanga wewe? Kitu kutoka Chipu, Kasense, Mafulala...chezea siye wewe? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Arushaone, unawafahamu watu wa Sumbawanga wewe? Kitu kutoka Chipu, Kasense, Mafulala...chezea siye wewe?
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,932 Apr 24, 2013 #42 Mpui Lyazumbi said: Katavi, Posuta mkombe. Click to expand... Taitu mkombe zya manda...
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,687 Reaction score 64,739 Apr 24, 2013 #43 Katavi walau na wewe umeona mwaka, loh. Katavi said: Taitu mkombe zya manda... Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,932 Apr 24, 2013 #44 Mamndenyi said: Katavi walau na wewe umeona mwaka, loh. Click to expand... Ndio mpendwa nimeuona....vipi kwani?
Mamndenyi said: Katavi walau na wewe umeona mwaka, loh. Click to expand... Ndio mpendwa nimeuona....vipi kwani?
Arushaone Platinum Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,237 Reaction score 13,567 Apr 24, 2013 #45 Mpui Lyazumbi said: Arushaone, unawafahamu watu wa Sumbawanga wewe? Kitu kutoka Chipu, Kasense, Mafulala...chezea siye wewe? Click to expand... Wala siogopi kitu kwani nilishafundishwa kila kitu na enzi hizo mwalimu wangu alikuwa Katavi. Kama huamini nikutumie radi sasa hivi hapo ulipo? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mpui Lyazumbi said: Arushaone, unawafahamu watu wa Sumbawanga wewe? Kitu kutoka Chipu, Kasense, Mafulala...chezea siye wewe? Click to expand... Wala siogopi kitu kwani nilishafundishwa kila kitu na enzi hizo mwalimu wangu alikuwa Katavi. Kama huamini nikutumie radi sasa hivi hapo ulipo?
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,932 Apr 24, 2013 #46 Arushaone said: Wala siogopi kitu kwani nilishafundishwa kila kitu na enzi hizo mwalimu wangu alikuwa Katavi.Kama huamini nikutumie radi sasa hivi hapo ulipo? Click to expand... Hahahaah!! Acha mkwara wewe hujui jamaa na prof. wa hayo mambo? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Arushaone said: Wala siogopi kitu kwani nilishafundishwa kila kitu na enzi hizo mwalimu wangu alikuwa Katavi.Kama huamini nikutumie radi sasa hivi hapo ulipo? Click to expand... Hahahaah!! Acha mkwara wewe hujui jamaa na prof. wa hayo mambo?
Mpui Lyazumbi JF-Expert Member Joined Sep 1, 2010 Posts 1,910 Reaction score 445 Apr 28, 2013 Thread starter #47 Hodi hodiiiiiiii, Dasalaam. Niko njiani wadau na sina utani hata kidogo. C.C Katavi, Mamndenyi, Arushaone... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Hodi hodiiiiiiii, Dasalaam. Niko njiani wadau na sina utani hata kidogo. C.C Katavi, Mamndenyi, Arushaone...