Mama Mdogo Kanipa Mtaji Nakuja Dar es Salaam

Mama Mdogo Kanipa Mtaji Nakuja Dar es Salaam

Mpui Lyazumbi

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2010
Posts
1,910
Reaction score
445
Ndiyo, natoka Swanga na ninakuja. Nisaidieni mawazo nikiwa hapao mjini. Nakumbuka mara ya mwisho nilifikiaga Keko Magorofani. Hodiiíí!
 
Una shilingi ngapi hasa hapo? Una sehemu ya kufikia? Ninaweza kukupokea nikakutunzia hela zako huku nakutafutia cha kufanya. Nina jamaa zangu ni watu wazuri tu watakutafutia biashara nzuri kabisa ya kufanya na hata kwenda China kama utataka.
 
Amenipa Closed cheque ya 12m, na ni kwa kuwa naiamini JF. Nitashinda.
 
we hata usipate shida,ukishafika hapa town tuwasiliane..
 
y-n, ntakupataje? Nimesoma mbwembwe za JF! Ni nooma

nipe mawasiliano yako(PM),then nitakuambia nilipo,nitakusaidia kuitoa hela iwe cash,na sio cheque tena..baadae nitakushauri uifanye hii biashara kama yangu.
 
Last edited by a moderator:
mmh, wanavyokusubiri kwa hamu! sijui kama watakuacha hata na shillingi moja, bora ungekuja mwanza tukupeleke malaika, villa park au fussion club
nipe mawasiliano yako(PM),then
nitakuambia nilipo,nitakusaidia kuitoa hela iwe cash,na sio cheque
tena..baadae nitakushauri uifanye hii biashara kama yangu.
 
uzuri wa pale keko wamefungua bar mpya inaitwa dealers pub. karibu sana. mia
 
mmh, wanavyokusubiri kwa hamu!
sijui kama watakuacha hata na shillingi moja, bora ungekuja mwanza
tukupeleke malaika, villa park au fussion club

wala asiogope,dsm ni mji salama sana...atafikia kwetu..
 
Back
Top Bottom