Mama mdogo ananitesa!

Mama mdogo ananitesa!

Nipo nyumbani kwetu Kimara week ya 3 tangu nimalize chuo huko iringa, kuna mama mdogo wangu katoka Singida shelui, kila siku asubuhi wakiwa anaandaa chakula akiwa amekaa kwenye kiti anajiachia sana nguo zake za ndani naona nikimwambia akae vizuri ananiuliza kipi sijui? Naomba mnisaidie nimfanyaje?
Kwanini usiende kushitaki polisi
 
Katoka Singapore (Singida)?, hebu mchungulie kama hana king'amuzi ni Pm..
 
Nipo nyumbani kwetu Kimara week ya 3 tangu nimalize chuo huko iringa, kuna mama mdogo wangu katoka Singida shelui, kila siku asubuhi wakiwa anaandaa chakula akiwa amekaa kwenye kiti anajiachia sana nguo zake za ndani naona nikimwambia akae vizuri ananiuliza kipi sijui? Naomba mnisaidie nimfanyaje?
Imagine uko nyumban kwenu afu unakosa jinsi ya kumwambia kweli?

Unless umetunga na kwa hilo hutasameheka.

Ila kama ni kweli mwambie mzazi wako hasa baba yako kwasababu ni mwanaume mwenzio (kama yupo) atakupa njia rahisi ya kutatua

Sent from my Royale A1 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza mama mdogo wa mke wa baba mdogo au mdogo wa mama yako?
 
Ila kwa lolote lile usije ukajaribu maana utajiharibia maisha maana ndo kwanzaa umetoka chuo huna be wala che
 
oswald.bm-20170717-0001.jpg

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Nipo nyumbani kwetu Kimara week ya 3 tangu nimalize chuo huko iringa, kuna mama mdogo wangu katoka Singida shelui, kila siku asubuhi wakiwa anaandaa chakula akiwa amekaa kwenye kiti anajiachia sana nguo zake za ndani naona nikimwambia akae vizuri ananiuliza kipi sijui? Naomba mnisaidie nimfanyaje?
TatiZo sio mama mdogo tatizo watu wa huo Mkoa ni shidaaaahh.. Usiogope hizi zama za ukweli na uwazi hivyo mchane live tu kuwa ajieheshimu ikishindikanika tumia mtu alieenda Umri amfikishie ujumbe kuwa anachofanya sio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom