Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,642
- 21,266
Na huyu eti kamaliza CHUO.Kweli kabisa hujui cha kufanya hapo kweli??
Na huyu eti kamaliza CHUO.Kweli kabisa hujui cha kufanya hapo kweli??
Ha ha ha ha. Muombe kipate, kichwa tu..Mama mdogo nionee huruma![emoji24][emoji24][emoji24]
Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
laana ni imani kama huamini sahau kuhusu laana
aiseeh!Kwanyua
Anajaribu kucheza na akili za watu hajui kuwa kuna watu makini wanamfuatilia taratibu tena bora angekaa hata miezi 3 akaandika huo utumbo wake watu wange sahau na kujibu alicho andika.kulingana na maelezo yako na mastor yako ime onesha haupo sawa kichwani aisee!!ume maliza chuo tena kikuu alafu babako ame kupongeza ume faulu 4m 6.YOU ARE NOT A TEENEGER STOP EMBARASING YOURSELF.
mtoto mshamba huyukwani kipi hukijui?
Sana yani kila mahali zipo bado anashangaa ya mama mdogomtoto mshamba huyu
sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
hakuna wanachofaidika zaidi ya kuona tu comments za watu!...Safi sana mkuu kwa kumfichua, nimejifunza kwamba kuna watu naturally wapenda uongo na hata wanapoteza their valuable time kumwaga uongo hapa jamvini. Ambacho huwa kinanitatiza kukielewa ni wanafaidika na nini??