IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,850
Nipo nyumbani kwetu Kimara week ya 3 tangu nimalize chuo huko iringa, kuna mama mdogo wangu katoka Singida shelui, kila siku asubuhi wakiwa anaandaa chakula akiwa amekaa kwenye kiti anajiachia sana nguo zake za ndani naona nikimwambia akae vizuri ananiuliza kipi sijui? Naomba mnisaidie nimfanyaje?
...Hapo home kwenu hakuna kijisehemu hata cha kulima matuta 5 upande vegetables au hata utumie mifuko ya viroba 25kgs uijaze udongo wenye mbolea na uanzishe mradi wa kuku keep bize na kujipatia some income badala ya kukaa idle na kuchungulia papuchi hapo home kwenu??
....Yaani wazee wako wamehenyeka weee mpaka umemaliza chuo badala hata ya kuanza kuwapiga jeki kwa kuzalisha chochote cha kuzalisha hapo home baada ya kumaliza chuo unaendelea kutia hasara hapo, na mbaya zaidi umeanza tabia mbaya kupiga chabo, sijui vijana wa sasa mkoje aisee!