Mama Magufuli yuko wapi, mbona hamsaidii Mumewe kwenye kampeni?

Mama Magufuli yuko wapi, mbona hamsaidii Mumewe kwenye kampeni?

Huyu ndiye tumpe nchi kweli, tunejifunza kutoka kwa waliotutangulia kwa kuendekeza Nyumba ndogo na hasara Taifa lililopata, huu ni ushahdi kuwa Magufuli hawezi kupewa nchi, tumkatae huyu mtu,

#Mabadiliko2015
 
Mbona kwenye kusaka wadhamin na kuchukua form alikuwa nae. Mgogoro umeanza jana?
 
Tukuruhusu taifa kuongozwa na watu Wa namna hiyo ni wazi kuwa tunalitumbukiza taifa katika machafuko ya kimaadili,

Taifa langu linaangamia kwa kukosa maadili, tumkataeeee Magufuli
 
ya 9 duniani kwa uwezo mdogo wa kufikiri?










Johnson Mbwambo

Toleo la 350
30 Apr 2014













  • Kama ni kweli, haishangazi nchi kukosa mwelekeo





WIKI iliyopita niliandika kuhoji iwapo mambo kwenda shagalabagala hapa Tanzania, ni kwa sababu ya werevu wa chama tawala CCM au ni kwa sababu ya ujinga wetu Watanzania.
Nilipata mrejesho wa sms na barua pepe wa ajabu kidogo – wako waliokubaliana nami, na wako ambao si tu hawakukubaliana nami, lakini walinilaumu kwa kuwaita Watanzania ‘wavivu wa kufikiri’; kana kwamba wamesahau kuwa wa kwanza kutamka hivyo alikuwa Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa!
Lakini kabla sijaenda mbali, nichukue fursa hii kusahihisha kosa nililolifanya katika makala hiyo. Nilitaja jina la Rais wa Zanzibar aliyesimamia mchakato wa mwaka 2010 kuirekebisha Katiba ya Zanzibar kwa kuingiza vifungu vilivyoudhoofisha Muungano kuwa ni Dk. Mohamed Shein wakati jina nililokusudia kuandika ni Amani Karume. Namuomba radhi sana Dk. Shein na wasomaji wangu kwa kosa hilo.

Nikirejea kwenye sms nilizotumiwa, kuna moja ilinisisimua kidogo; nayo inatoka kwa msomaji wangu mwenye simu namba 0754532797 ambaye aliandika hivi:
“Tatizo letu kubwa hapa Tanzania na mkuu wa maadui wetu kama taifa ni COLLOSAL MASS IGNORANCE. Ukweli ndugu yangu Mbwambo, hatutoki hapa tulipokwama labda miaka 50 ijayo.”​
Kilichonisisimua kwenye ujumbe wake huo ni mambo mawili. Kwanza, ameliita tatizo letu hilo kuwa ni ujinga wa kihalaiki, lakini pili; amesema kwamba hatutoki hapa tulipokwama labda miaka 50 ijayo? Mambo hayo mawili yanatafakarisha. Je, ni kweli wetu ni ugonjwa unaoitwa COLLOSAL MASS IGNORANCE? Na kama ndiyo, je, ni kweli hatuna namna tunaweza kutoka hapo labda mpaka baada ya miaka 50? Tafakari!











- See more at: Raia Mwema - Tanzania ya 9 duniani kwa uwezo mdogo wa kufikiri?
 
Habari kutoka gazeti la mawio, linasema mke wa mgombea wa urais CCM amekataa kumnadi na hata kumsindikiza mume wake katika kampeni kutokana na mgogoro ndani ya familia yake.

Habari zinasema kuwa pamoja na ushawishi wa mama salma, mke wa sitta na mama anna mkapa bado kashikilia msimamo wake na kusema hawezi kumnadi mumewe kwa sababu ya mambo ya kifamilia.

Habari za ndani kutoka kwa mfanyakazi wa ndani zinasema, mama huyu hamwamini mumewe kutokana na mwenendo wake, hasa wa usaliti katika ndoa yakee!

Imefaamika kuwa mama huyu tayari alikwisha mlaani mumewe na kumwambia kuwa ni rahisi tembo kupita kwenye tundu la sindano kuliko yeye kuwa rais.

Tayari kikao kimefanyika kumtuma mama maria nyerere kwenda kumwomba aungane na mumewe kuomba kura!!

Utakuwa unazungumza kitu ambacho haukijui......mke wa magufuli Alikwenda na Magufuli kwa TB Joshua Nigeria kama alivyofanya Lowassa, Mke wa Magufuli alikwenda Dodoma wakati Magufuli akiomba kupitishwa na CCM na baadae kushinda uchaguzi,,,,,,,,,,,,,,,nafikiri hivi vitakuwa viroba vilivyo changanywa na mahaba ya kisiasa kwa hiyo tunapunguza uwezo wa kufikiria.
 
aiseeeee majanga haya kama yakithibitishwa yatatumaliza
 
Mama MAGUFULI ATAWAFUNGA MDOMO MUDA SI MREFU,acheni uzushi huyu Mama yupo sambamba na mmewe
 
Back
Top Bottom