Huyu ndio Rais tumtakaye , Hatutaki Rais wa kufanya Ikulu sehemu ya Mavuno ya Familia , huyu si wa Kushauriwa na Mkewe usiku na kutoa Maamuzi asubuhi No hata Nyerere alikataaa ! Huyu ndio Kiongozi , Shikamoo Pombe Magufuli unadalili zote njema , hata Vijana wako na Mabinti wako hatuwafahamu na haituhusu wewe ni kiongozi wa kila mtu , JJ for Presidenttttttttttttttttttttttttttttttttt! Hoyooooooo Bado siku ngapi parapara kupiga kura palapala , bado siku 40 ! :lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1: