Habari kutoka gazeti la mawio, linasema mke wa mgombea wa urais CCM amekataa kumnadi na hata kumsindikiza mume wake katika kampeni kutokana na mgogoro ndani ya familia yake.
Habari zinasema kuwa pamoja na ushawishi wa mama salma, mke wa sitta na mama anna mkapa bado kashikilia msimamo wake na kusema hawezi kumnadi mumewe kwa sababu ya mambo ya kifamilia.
Habari za ndani kutoka kwa mfanyakazi wa ndani zinasema, mama huyu hamwamini mumewe kutokana na mwenendo wake, hasa wa usaliti katika ndoa yakee!
Imefaamika kuwa mama huyu tayari alikwisha mlaani mumewe na kumwambia kuwa ni rahisi tembo kupita kwenye tundu la sindano kuliko yeye kuwa rais.
Tayari kikao kimefanyika kumtuma mama maria nyerere kwenda kumwomba aungane na mumewe kuomba kura!!