Mama Magufuli yuko wapi, mbona hamsaidii Mumewe kwenye kampeni?

Mama Magufuli yuko wapi, mbona hamsaidii Mumewe kwenye kampeni?

gambagumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
2,341
Reaction score
3,166
Mama salma Kikwete alimsaidia sana Mumewe kwenye kampeni 2005, tunamwaona pia mama Regina Lowassa akimuunga mkono Mumewe, Vipi kuhusu mama Magufuli mbona yupo kimya?
 
Kwenye uzinduzi wa kampeni pale jangwani alitambulishwa mwishoni tena kwa kukunbushwa na Kikwete. Inaonekana anamuacha sana nyuma na mama hayuko excited na ndoto ya mmewe.
 
Yupo kwenye kampeni, muda ukifika utamwona usiwe na haraka.
 
Mama hataki kabisa haya mambo kwani anatambua jinsi mume wake alivyo kicheche akipata huo urais ndio watatengana kabisa (japokua nina uhakika Magufuli hawezi kuwa Rais)
 
mama magufuli akiongea Kiswahili wote mtakimbia lafidh mgogoro
 
Nchi inahitaji kiongozi mwenye afya njema na mpambanaji wa ufisadi na wizi, edo sifa hiZo hana hata moja, kusimama penyewe hawezi dk 15 hajafika anatetemeka tu, jaman mwambien ikulu hakuna wodi ya wagonjwa
 
Shule hazijafungwa, anaendelea kutufundishia watoto wetu
 
hali tete sio mchezo watu wapo mguu ndani mguu nje. unaweza kuta mumewe kamshauri awe mpole kwanza
 
Magufuli ni mkandamizaji mkubwa wa haki za akina mama,huyo mkewe ni mwalimu na hana kauli kabisa akiwa nyumbani.
 
Back
Top Bottom