Mama Magufuli yuko wapi, mbona hamsaidii Mumewe kwenye kampeni?

Mama Magufuli yuko wapi, mbona hamsaidii Mumewe kwenye kampeni?

Acheni siasa nyepesi huyo mama ni mwajiriwa.sasa how comes aache kufundisha watoto aje kwenye kampeni?nani atawafundisha wanafunz wake?
 
Magufuli kushinda urais ni sawa na tembo kupenya kwenye tundu la sindano....hii ndio laana alioitoa mama magufuli kwa mmewe......watch out.....
 
Hapo sasa sijui Mama Magufuli amemind yule kimada aliyehongwa nyumba ya Serikali enzi ya gawa gawa za nyumba za Serikali au ni kabula wa Keby's?

Janeth weka msimamo utaaibika tu majukwaani kama siku ile pale Jangwani uliposahaulika kutambulishwa na Magufuli mpaka JK alipomkumbusha.
Hivi mtu utasahau vipi kumtambulisha mkeo mpenzi kwenye shughuli muhimu kama ile?

Acha porojo wewe.....!!!!

mume wako huwa anakutambulisha kila sehemu?
 
Ni kwani Mh. John Pombe Magufuli mke wake hampigii kapeni?. Huyu mama kajificha wapi?
Naomba huyu mama ajitokeze ampigie kampeni rais wetu Magufuli kama anavyofanya mke wa Mh. Lowasa.
Hii itasaidia kupata kura za wanawake.
 
Sana kabisa kama huyu hapo chini!

​

Last edited by a moderator:
Ana washangaa nyinyi kumshabikia mwanaume ambae maisha yake yote anamjua hafai!
 
huyu atakuwa yule aliyempiga dole Regina Lowassa... anapenda kuongelea wake za watu duh
 
huyu atakuwa yule aliyempiga dole Regina Lowassa... anapenda kuongelea wake za watu duh

Hahaha alimpiga dolee mkee wa mweshimiwaaa daaa mama katili kampiga jamaa na maik daaa nishidaaa mama mlevii. Ikulu hawaendii walevii jameni
 
Back
Top Bottom