Mama Magufuli yuko wapi, mbona hamsaidii Mumewe kwenye kampeni?

Mama salma Kikwete alimsaidia sana Mumewe kwenye kampeni 2005, tunamwaona pia mama Regina lowassa akimuunga mkono Mumewe, Vp kuhusu mama Magufuli mbona yupo kimnya

Mke wa Magufuli sio mwanasiasa.
 
Ni kawaida wagombea uraisi kutambulisha au hata kuambatana na wake zao ktk kuwania nafasi hiyo,mf.jakaya na mama salma,kibaki na mkewe bi. Lucy kibaki n.k. Pale ashindapo nafasi hiyo huwa 'first lady' wa taifa hilo kama ilivoonekana kwa waliotajwa hapo juu,tukirudi ktk uchaguzi wa mwaka huu ambao ushindani mkubwa unaonekana kati ya magufuli kupitia c.c.m dhidi ya Lowassa kupitia chadema chini ya mwavuli wa UKAWA,tumemwona mke wa Lowassa bi.Regina akinadi chadema kuhakikisha wanatwaa dola,swali la kujiuliza kwanini bi. Janeth Magufuli hamsaidii bwana ake na chama chake kupata ushindi? je ni mkato wa tamaa au hakubaliani na nafasi aigombeayo magufuli? hongera Lowassa kwa kuwa strong na kupata mwanamama jasiri kama wewe,tumeona juhudi zenu kwa pamoja hivo tutakupigia kura
 
Wa nini? Hivi vitu ndivyo vinafanya Tanzania isiende mbele. Acha mama alee watoto
 
Ujue hayupo ....kwa Rais kama hawezi kutunza na kuelewana na familia yake unafikili anaweza kutuongoza watanzania.
 
Amsaidie ili iweje? Hujui yule ni mtumishi wa umma na sasa hivi yupo kwenye majukumu yake ya kazi? Kama unamhitaji kamtafute kwenye kituo chake cha kazi.Yule sio mwanasiasa ila ni mwalimu.
 
mama salma kikwete alimsaidia sana mumewe kwenye kampeni 2005, tunamwaona pia mama regina lowassa akimuunga mkono mumewe, vp kuhusu mama magufuli mbona yupo kimnya

ni mtumishi wa umma

sheria hiko wazi ; akishiriki atafukuzwa utumishi wa umma;

ni mwalimu anaupenda ualimu;

hana tamaa na uongozi ; kwani anajua jeshi la mtu mmoja vs mawaziri wakuu 2; linatosha
 
Kwa muonekano wake sidhani kama yule mama anapenda siasa kabisa. Ni mwalimu nadhani wa Mbuyuni S/M kama hajaiacha hiyo kazi!!!
 
Biblia

mwanamke hatasimama mbele ya madhabau na kuongea mbele ya wanaume
 
Ujue hayupo ....kwa Rais kama hawezi kutunza na kuelewana na familia yake unafikili anaweza kutuongoza watanzania.
Hamjakereka na ya Ridhiwani, Mama Salama etc. Nadhani tumwache mke awe private affairs
 
Wa nini? Hivi vitu ndivyo vinafanya Tanzania isiende mbele. Acha mama alee watoto

acha ushamba dogo iweje mgombea urais amwache mkewe nyumbani? Watoto si alishawalea? Kuwaacha nyumbani mda wa kampeni kuna shida??

Subiri mm miaka iyo ntakavyo mnadi hubby majukwaani mtashangaaga,
 
First Lady Ni Mke Wa Raisi Sio Cheo Cha Kiserikali.Afanye Kampeni Hasifanye Kampeni Bado Atabakia Kua First Lady Ajae.Kwhy Mwacheni Afanye Yake.Hacheni Kuishi Kwa Mapokeo.
 
acha ushamba dogo iweje mgombea urais amwache mkewe nyumbani? Watoto si alishawalea? Kuwaacha nyumbani mda wa kampeni kuna shida??

Subiri mm miaka iyo ntakavyo mnadi hubby majukwaani mtashangaaga,
Nashukuru bibi ila kumbuka kuwa ni muhimu kugawana majukumu katika familia. Baba anaenda kampeni na nimuhimu kwa mama kubaki nyumbani. Tusiwe wabinafsi kudhani wenzetu wajitolee hata kusahau familia ili atutumikie. Hapa na udogo wangu sikubali
 
Ni kawaida wagombea uraisi kutambulisha au hata kuambatana na wake zao ktk kuwania nafasi hiyo,mf.jakaya na mama salma,kibaki na mkewe bi. Lucy kibaki n.k. Pale ashindapo nafasi hiyo huwa 'first lady' wa taifa hilo kama ilivoonekana kwa waliotajwa hapo juu,tukirudi ktk uchaguzi wa mwaka huu ambao ushindani mkubwa unaonekana kati ya magufuli kupitia c.c.m dhidi ya Lowassa kupitia chadema chini ya mwavuli wa UKAWA,tumemwona mke wa Lowassa bi.Regina akinadi chadema kuhakikisha wanatwaa dola,swali la kujiuliza kwanini bi. Janeth Magufuli hamsaidii bwana ake na chama chake kupata ushindi? je ni mkato wa tamaa au hakubaliani na nafasi aigombeayo magufuli? hongera Lowassa kwa kuwa strong na kupata mwanamama jasiri kama wewe,tumeona juhudi zenu kwa pamoja hivo tutakupigia kura

Una tumbo la kuhara?
#hapakazitu
Babangu
 
Magamba bwana. Mama anatakiwa awe mstari wa mbele pia. Msituzuge bwana.

Wanafamilia wa viongozi wakishiriki siasa mnalalamika wasiposhiriki bado mnachonga midomo.

Familia ya JK mnaipigia kelele hii ya JPM nayo mshaanza kuipigia kelele nyie wapinzani vipi?
 
Back
Top Bottom