Mama Magufuli, nini kimekusibu?

Mama Magufuli, nini kimekusibu?

erick13

Senior Member
Joined
Aug 20, 2009
Posts
163
Reaction score
59
MAMA POMBE UKO WAPI?? tunamuona mama Lowassa tu we mwenzetu kulikoniii?? tunge penda kupata neno kutoka kwa mama wa mgombea jamani...

Wanajamvi naomba tujuzane kwa wenye taarifa haiwezekani mke wa mama Raisi matalajiwa tusipate neno kutoka kwake?
 
Ndoa ya magufuli ina ufa, mapadlock Ana michepuko kibao so familia yake haipo sawa, yule mama Ana stress, Huyo magufuli alifunga ndoa nyingine kimila na mdada aitwa Sundi wa Gedeli nyakato, ilipelekea maadam kumsusa jpm, ameombwa sn amsaidie mumewe maadam bado hajawa sawa
 
nimfanya kaz so anawajibikaa huyo asie na elimu gori kipa ndo azunguke

Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Pitia mabandiko ya wiki mbili zilizopita hapa JF, tulielezwa Mama Lowassa ni mama msomi ana Masters degree na ni Mwalimu by training and profession. Inawezekana kiwango chake cha elimu hakuna mwanamke kwenye uko wako aliyekifikia!!! Samahani kama nimekukwaza!!
 
Nasikia kachukia. Waume wa wenzie ni tuhuma za mahela tuu ye wakwake ni kutaifisha nyumba na kuhonga wanawake,wengine kuwakengea hoteli wakati yeye anaoiga chaki darasa la wanafunzi 120 mpaka Mafia na Mara asikie mzee alikuwa anaaga kwenda Igunga kumbe yuko Mabibo hosteli basi tuu full kuchanganyikiwa.
Anashangaa mbona kumbe tabia zinafanana na yule yule aliyekimbia familia na kuishi na mchumba?
 
Hatuwez mchagua first lady tusiyemjua
Lizabon mbona mama salma aliacha kazi
Pengine anajua hawez shinda
 
Nimeshajua rangi zako.

Mnatazama kila kitu kisiasa
mimi nawajua wasukuma na nilichosema nishakisema mbele yao na hawapingi
wasukuma sio sawa na watu wa pwani
watu wa pwani ni makabila ambayo mama wana sauti
makabila ya wasukuma wanyamwezi na mengine ya bara
mimi mwenyewe mnyamwezi.....sio culture mwanamke kwenda mbele na wanaume
sio culture......hata kama kuna mabadiliko still culture zina nguvu....
 
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Pitia mabandiko ya wiki mbili zilizopita hapa JF, tulielezwa Mama Lowassa ni mama msomi ana Masters degree na ni Mwalimu by training and profession. Inawezekana kiwango chake cha elimu hakuna mwanamke kwenye uko wako aliyekifikia!!! Samahani kama nimekukwaza!!
Hujamkwaza ila umemuelewesha.Kwa vile watu wanataka mabadiliko basi ni wazi hata mshauri wa mkulu sasa atakuwa Mwl mwenye shahada ya uzamili baada ya kuondoka Mwl wa UPE
 
Back
Top Bottom