Mama Kikwete anusurika kukamatwa na fedha bandia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama Kikwete anusurika kukamatwa na fedha bandia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Godwine, Jun 2, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. G

  Godwine JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kakika ziara ya mama salma kikwete mwezi May 2011 nchini Marekani (ARIZONA) alinusulika kukamatwa na kosa la fedha bandia baada ya msafara wake kutumia fedha za zamani , mara baada ya kutoa fedha hizo wamiliki wa hoteli hii walipiga simu kwenye kikosi maalumu cha udhibiti wa fedha bandia na haramu ili kukabiliana na tatizo hilo.

  lakini mara baada ya kupiga simu huko kikosi hicho kikawajibu wamiliki wa Hoteli hiyo kuwa, fedha hizo si bandia bali Tanzania ni nchi pekee Duniani inayotumia fedha za aina mbili kwa wakati mmoja na kila aina ikiwa halali na hakuna tatizo lolote na hakuna kipindi cha mpito kilichowekwa kuzitoa fedha za zamani kwenye mzunguko.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Source ya habari hizi????
   
 3. Bigjahman

  Bigjahman JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Teh teh teh Dah ingekuwa kal wamuhfadhi store wakat wakjianda kupga cm ktengon
   
 4. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Asante kwa kutujulisha lakini nasikitika thread yako itaondolewa muda wowote usiniulize kwa nini.
   
 5. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  chanzo? ulikuwa kwenye msafara huo?
  hili nalo neno
   
 6. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,919
  Likes Received: 12,106
  Trophy Points: 280
  Mzee masa siku hizi tunaogopa kuja na source/evidence tunaogopa ban umesahau ya never ha ha haa.
   
 7. k

  kiloni JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mabaki ya dola za marekani za kule BOT za 1996.
   
 8. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,919
  Likes Received: 12,106
  Trophy Points: 280
  Jamaa hawakuwa na pingu.
  [​IMG]
   
 9. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hii umeitoa wapi bana?
   
 10. K

  Kakulwa Senior Member

  #10
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hizo fedha zilikuwa ni dolari au madafu?
   
 11. M

  Mkandara Verified User

  #11
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu ni fedha gani za zamani ambazo hazitumiki Marekani?.. maanake nijuavyo mimi Tanzania mnakataa fedha za zamani za Marekani chini ya mwaka 1982 sijui lakini bado zinatumika na binafsi nimeshazitumia sana tu..Majuzi tu nilikuwa Bufallo NY, nikabadilisha kwa faida baada ya kuzinunua Bongo kwa bei poa sana!..
   
 12. God bell

  God bell JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2011
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 581
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Alitumia fedha za zamani, halafu Tanzania ni nchi pekee duniani inayo tumia fedha za aina mbili. Ni fedha za nchi gani? Ni za Tanzania au USA manake ninavyojua hela ya Tz huwezi kenda nayo popote tofaut na E.A. Weka mambo wazi.
   
 13. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #13
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tanzania na China:A S 103:
   
 14. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #14
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mkuu jibu hoja hii hapa chini ili kuondoa utata, hivi kweli USA unaweza kutumia fedha ya madafu?

   
 15. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #15
  Jun 2, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kwani hujajua kuwa first lady huandamana na wanaUWT, habari hizi haziwezi kuwapita. Humu Jamii Forums wamejaa kibao, we huoni tunapakuliwa ile misosi mizito mizito ya ndani huko tusikotia mguu, aka kwa wala kuku kwa mrija.
   
 16. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #16
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Hivi ni Hela gani inayozungumziwa hapa?
   
 17. F

  FJM JF-Expert Member

  #17
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kosa la Ikulu, wizara ya mambo za nchi za nje na ubalozi wa Tanzania Washington! Hawa watu walishindwa kuumpa taarifa sahihi juu ya currency zilizo kwenye circulation huko marekani?
   
 18. G

  Godwine JF-Expert Member

  #18
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wajumbe wanashindwa tambua Hotel zenye kiwango cha kibalozi unaweza kulipa kwa fedha za nchi zinazotambulika .
   
 19. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #19
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,229
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 180
  Hivi kumbe wakiendaga huko mamtoni huwa wanabeba cash kwa mapochi yao! maajabu
   
 20. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #20
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  halafu sister namzimia sana,,naombeni no yake
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...