Mama Kikwete anusurika kukamatwa na fedha bandia

Status
Not open for further replies.
kakika ziara ya mama salma kikwete mwezi May 2011 nchini Marekani (ARIZONA) alinusulika kukamatwa na kosa la fedha bandia baada ya msafara wake kutumia fedha za zamani , mara baada ya kutoa fedha hizo wamiliki wa hoteli hii walipiga simu kwenye kikosi maalumu cha udhibiti wa fedha bandia na haramu ili kukabiliana na tatizo hilo.

lakini mara baada ya kupiga simu huko kikosi hicho kikawajibu wamiliki wa Hoteli hiyo kuwa, fedha hizo si bandia bali Tanzania ni nchi pekee Duniani inayotumia fedha za aina mbili kwa wakati mmoja na kila aina ikiwa halali na hakuna tatizo lolote na hakuna kipindi cha mpito kilichowekwa kuzitoa fedha za zamani kwenye mzunguko.

Hii ni bogus thread.

Hapa USA kama ukitoa 100 bill wanacho fanya ni kutumia pen maalumu kuangalia authenticity ya fedha. Usiandike vitu usivyo vijua. HAKUNA KIKOSI MAALUM CHA KUANGALIA FEDHA. HUU NI UONGO WA KAWAIDA.
 
Mkuu ni fedha gani za zamani ambazo hazitumiki Marekani?.. maanake nijuavyo mimi Tanzania mnakataa fedha za zamani za Marekani chini ya mwaka 1982 sijui lakini bado zinatumika na binafsi nimeshazitumia sana tu..Majuzi tu nilikuwa Bufallo NY, nikabadilisha kwa faida baada ya kuzinunua Bongo kwa bei poa sana!..

Wewe huna tofauti na Muhujumu uchumi, unatoa $ Nyumbani unapeleka uko.
tena unajisifu, "kwa faida"
 
Kwani Tanzania wanatumia Dola ? au marekani wameanza kuitumia Tanzanian shilling?

Bogus
 
Mzee masa siku hizi tunaogopa kuja na source/evidence tunaogopa ban umesahau ya never ha ha haa.

Aaah Mkuu usinukumbushe habari ya never, yaani tumekubaliana anitatulie tatizo langu la kuchakachuliwa kwa simu yangu jamaa wanampiga Ban! Yaani sielewi sijui ni kwa nini hawa Mods wanakuwa na roho mbaya utafikri wanatumiwa na Chama Cha Magamba!?

Yaani sasa hivi itabidi mjihadhari sana na kuweka evidence vinginevyo mtakula BAN mpaka mkomae!! Sasa never nitampata wapi?
 
yaani wangempiga pingu ndo pangekuwa patamu sijui angeongea kiswahili au kikweree maana najua kingredhaa hamna kitu pale...
 
Ilifaa iende kwenye utani hii. Nadhani Ndulu anasikia. Kwa kuwa tunachoshuhudia sasa ni kutoweka kwa noti mpya, badala ya zile za zamani. Nini kimejiri?
 
Kosa la Ikulu, wizara ya mambo za nchi za nje na ubalozi wa Tanzania Washington! Hawa watu walishindwa kuumpa taarifa sahihi juu ya currency zilizo kwenye circulation huko marekani?

Tatizo la kubadilisha Dollar Samora Evenue kwa Wahindi!!

mawazo mabovu,yanaunda sera mbovu utekelezaji mbovu,wtu wasio makini, nchi hii bwana: kwenye mambo ya msingi ndo tunakua less serious
Mtazamo wangu ni kwamba, kama wana jamii mtakumbuka ile scandal ya noti zisizo na kiwango mpaka yule foreigner akaletwa na BOT kushafisha mambo, the issue hapa ni kwamba tutakwenda mdogomdogo na noti zote mbili alafu utasikia hizi mpya wanazipiga chini,

Professor Ndulu, Economists aliyekosa Knoledge ya procurement mpaka akapigwa Changa la Macho:
 
kakika ziara ya mama salma kikwete mwezi May 2011 nchini Marekani (ARIZONA) alinusulika kukamatwa na kosa la fedha bandia baada ya msafara wake kutumia fedha za zamani , mara baada ya kutoa fedha hizo wamiliki wa hoteli hii walipiga simu kwenye kikosi maalumu cha udhibiti wa fedha bandia na haramu ili kukabiliana na tatizo hilo.

lakini mara baada ya kupiga simu huko kikosi hicho kikawajibu wamiliki wa Hoteli hiyo kuwa, fedha hizo si bandia bali Tanzania ni nchi pekee Duniani inayotumia fedha za aina mbili kwa wakati mmoja na kila aina ikiwa halali na hakuna tatizo lolote na hakuna kipindi cha mpito kilichowekwa kuzitoa fedha za zamani kwenye mzunguko.

Hizi jokes nyingine bana.... ushafika liberia weye au sirea leone??
 
Yani wangempeleka jikoni akasugue masufuria huku wakisubiri kikosi maalumu,kama kweli mbona aibu hapa nyumbani tu ukienda ku exchange USD ambazo zipo chini ya mwaka 2000 unapata rate ndogo zaidi kuliko market rate kwa USD za kawaida abave year 2000.Mmmmmm huyo waliombadilishia inaonekana walimpiga changa la macho kwa kwenda kumnunulia midola ya bei rhisi na kupiga zao cha juu:smow::smow::smow:
 
Hivi kwanza alikwenda kufanya nini huko? Kuangalia miradi ya Mr. wake nini?
 
Hii ni bogus thread.

Hapa USA kama ukitoa 100 bill wanacho fanya ni kutumia pen maalumu kuangalia authenticity ya fedha. Usiandike vitu usivyo vijua. HAKUNA KIKOSI MAALUM CHA KUANGALIA FEDHA. HUU NI UONGO WA KAWAIDA.
Kuanzia dollar 20 wanacheki, Secret Service mbali ya kulinda viongozi wanadeal na fedha bandia vile vile.
 
Ni kweli taarifa hii ya kutuchosha kwani ukishakua USA huwezi kutumia tena hela ya Madafu. Lete ishu za mana bana!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom