Mama Kanumba afurahia mpaka machozi hukumu ya Lulu, asema anaenda makaburini moja kwa moja kumzika rasmi

Inategemea watauwawa vip man.mtu kaua bila kukusudia mnafurahia kupigwa miaka miwil yoote ndani!
Bila kukusudia kama hiyo ya Kanumba. Na hakuna anayefurahia. Ndiyo anayeshitaki ni Jamhuri sio mama Kanumba. Jamhuri lazima iweke order!
 
Bila kukusudia kama hiyo ya Kanumba. Na hakuna anayefurahia. Ndiyo anayeshitaki ni Jamhuri sio mama Kanumba. Jamhuri lazima iweke order!
Mimi wala mahakamani sitaenda ntamwachia Mungu mwenyewe.Rejea kichwa cha hii thread."mama kanumba afurahia......."
 
Inasaidia sana tu.
Wengi watajifunza kutokana na hukumu hii na Lulu pia atajifunza na kujirekebisha. Pia mama, ndugu, rafiki na mashabiki wa marehemu kanumba hii ni faraja kwao kuona kuwa uhai wa kipenzi chao umethaminika.
Inasaidia kiroho na si zaidi. Kumbuka mkasa kama huo (kama kweli hakukusudia kuua) unaweza kumtokea binadamu yoyote yule. Lakini kwasababu sheria zipo basi ni lazima sifatwe.
.
.
Mtu ameua mtoto wako hlf akafungwa miaka miwili baada ya hapo anadunda mtaani nani mwenye hasara zaidi? Aliyepoteza mtoto au ambae mtoto wake yu hai na anamuona hata kama hana uhuru?
Uhai ni uhai tu.
 
Kwahiyo muuaji akiachwa huru ndo sitapata hasara!!?
Hukumu ya namna hii inaangalia pande zote (mtuhumiwa na jamii)
Kama wauaji wangekuwa wanaachwa basi huenda hata leo hii usingepata nafasi ya kuquote comments zangu maana hatuna uhakika kama maadui zako wangekuacha salama.
Jamii inajifunza kutokana na hukumu kama hizi na kujenga hofu ya kutokutenda kosa kama hilo.
 
Mimi simtetei lulu. Ndio maana nikasema sheria zipo kwaajili ya situations km hiyo. Pia napongeza hiyo hukumu maana imetenda haki. Lakini hakuna kitakachobadilisha kuwa kanumba alishakufa na lulu yupo hai.
Uhai ni faida kuliko kifo.
 
Jaji kasema kabinti kalikua kakomavu kukurupukia mambo ya wakubwa.
Ila duuh....jaji ni noma, lulu kasukumiziwa mambo kibao, tabia mbaya yy, utovu wa nidhamu, tabia mbaya kwenye jamii, utukutu, umalaya, malezi mabovu kutoka kwa wazazi wake....yaan full misala yote imemuangukia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom