Mama Kanumba afurahia mpaka machozi hukumu ya Lulu, asema anaenda makaburini moja kwa moja kumzika rasmi

huenda wewe ndo mjinga !huenda hukunielewa !masuala ya kaka wa taifa yameingiaje hapa ! sijakataa sheria ifuate mkondo ila kimahesabu miaka 2 na wewe umempoteza mwanao ni tofauti kbs aendelee tu kumlilia mwanaye lakini sio afurahi eti had machozi ya furaha !labda usiwe mama hujapiota labor !kifo cha mtoto kinauma!nn miaka 2 jela?

Kwa uhalisia ni Mwaka mmoja maana wana hesabu Mchana na usiku, avumilie tu amalize salama awe huru.
 
Huwa najiuliza hivi wanawake mna roho gani...nilikua naangalia mitandaoni kufuatilia kesi ya Lulu...

Picha moja inaonesha Mama Kanumba anafurahi Mama Lulu Amalia

Nikaja kugundua wanawake hawapendi habari nzuri ya mtu mwingine ndio sababu ya UMBEA

Nikarudi nyuma nakupata picha ambayo humfanyia mtoto wa mwenzao pale mama yake anapotokea kuwa nae karibu tena wakati mwingine kwa mambo yapasayo kuona huruma kama kifo...tunasikia wanawaweka kwenye friji wanawachoma moto nk...yote chuki kwa ajjli ya mama yake....baba wa kambo yuko tofauti

Nikakumbuka wanavyoua watoto tumboni pia...

Wanawake ni selfish kwa upendo wao...wanawake wangekua wanaume tungeshakwisha
 
Ila atambue hata mtoto wake alikuwa na mahusiano na binti under 18,angekuwa hai na yeye angepokea haki yake, na thus why lulu alikuwa bado na akili za kitoto kuweza kumudu kuwa na mahusiano serious
under 18 is not fact in issue now..naona mmeng'ang'ania sana hii kitu...kama Mama Lulu aliona mwanawe anabakwa basi yeye ndo angetakiwa kuwa kwanza kwenda kufungua kesi polisi dhidi ya Kanumba kbl haya yote hayajatokea...kama alishindwa kufanya hivo maana yake aliridhia mwanae kubakwa na Kanumba...kesi sio automatic kwamba mtu akifanya kosa tu ndo ashtakiwe,lazima kuwepo na Mlalamikaji/Mripoti wa kesi ndo kesi iwe kwenye motion but mama lulu hakwenda kuripoti juu ya kubakwa kwa mtoto wake au kama ilikuwa inakuuma sana hata wewe ungeenda polisi kuripoti...sasa kama hamkuchukua hatua stahiki cjui ulitegemea nini.
 
Chozi la furaha au masikitiko? hata sijaelewa!
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom