Mama Kanumba afurahia mpaka machozi hukumu ya Lulu, asema anaenda makaburini moja kwa moja kumzika rasmi

Hapana kwake inamsaidia sana kihisia.kitaalamu amekuwa kwenye grieving process kwa muda mrefu mno.sasa ni kusema atafika mwisho.
Prolonged grief ingeweza kumuua hata yeye.Ukimfuatilia utaona tayari hata kiakili hakuwa sawa.


duh..miaka 2 unafurah namna hyo !anywys
 
Wengi hawajaona hio walichoona ni miaka miwili ila Lulu kaharibiwa kale kaheshima alikokua nako hasa kwenye masuala ya kuomba kuingia nchi za watu huko majuu
Ila duuh....jaji ni noma, lulu kasukumiziwa mambo kibao, tabia mbaya yy, utovu wa nidhamu, tabia mbaya kwenye jamii, utukutu, umalaya, malezi mabovu kutoka kwa wazazi wake....yaan full misala yote imemuangukia!
 
Mama sasa arudi kijijini akalime viazi,mji mgumu huu! Mwisho tutambaka na yeye aone kama ni raha.
 
atakaa gerezani mwaka 1 na miezi 4 tuu na endapo akipata msamaha wa raisi amabo ni ¹/6 itapunguaa zaidi
hapo hujazungumzia Community service.
Murder,manslaughter,moneylaundering,Armedy Robbery makosa haya hayana msamaha wa rais
 
duh..miaka 2 unafurah namna hyo !anywys
ANAPATA RELIEF JAPO HAIMSAIDII LOLOTE MAANA MWANAYE KASHAPOTEA LAKINI KUMUONA LULU IG ALKIPAKA LIPSTIK ZA AINATOFAUTTOFAUT NA USO UMEMNGAA MUDA WOTE ILIKUWA INAMKERWEKETA KWELI HAPO ANAJISKIA FARAJA HATA INGEKUWA NI WEWE UNGEJISKIA HALI FULANI HIVI YA AHUENI
 
Ila atambue hata mtoto wake alikuwa na mahusiano na binti under 18,angekuwa hai na yeye angepokea haki yake, na thus why lulu alikuwa bado na akili za kitoto kuweza kumudu kuwa na mahusiano serious
 
Maskini bimkubwa anaona haki imepatikana, kumbe kazungukwa. Alitakiwa kuoga mvua si chini ya 15 mpaka 30 miaka.
 
hv kumpoteza mwanao na yule wakukaa miaka 2 ndan inakusaidia nn wewe uliempoteza mwanao mazima !umesoma hesabu gan wewe !
okay has na ww ukibakwa mbakaji asifungwe koz akifungwa inakusaidia nin wewe??
kwa mantiki hiyo wahalifu wote wasikamatwe wala kufunguliwa kesi wala kufungwa koz inawasaidia nini watendwa??
Ukiongea kitu think twice..
 
Ni sawa na mtu kakupiga unaenda kumshtakia,je akipigwa na yeye itakuongezea nn.

Kufiwa kusikie kwa jiran tu.tena ukute walijibishana na mama kanumba akakashfiwa mwanae lazima apate faraja hata kama wengine wameumizwa na hukumu
hajielew Huyo dada. hawa atakuja kubakiwa mwanae alafu atajua inamsaidia nn mhusika akifungwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom