Mama Janeth Magufuli agoma kukampeni, acharuka

Mama Janeth Magufuli agoma kukampeni, acharuka

Status
Not open for further replies.
Magufuli ni player mzuri sana kwa Wanawake, huyu mama wametengana kwa sababu ya Magufuli kuzidisha michepuko...ikiwa Magufuli atashinda Urais basi ndoa yake itakuwa km ile ya Benjamin Mkapa na Anna Mkapa!

ukizingatia wema sepetu ndo matron wa magu alafu aunty Ezekiel naye kashatia timu hapo mama kagundua hana chake.
 
Mimi nafikiri yuko sawa,as much ni mtumishi wa umma nijuavyo mimi ni kwamba kuna taratibu zake kwenye mambo haya na kwamba ccm sio wajinga hivo wapindishe taratibu ambazo wao wanazisimamia na kama tungemuona majukwaani nafikiri watu mgeandika sana humu.
Mbona 2005-2010 Mrs Dk Prof, Mheshimiwa Tezi Dume alizunguka nchi nzima na mme wake wakati akiwa ni mtumishi wa umma?:sly:
 
Hii ya kafara bonge la point kumpiga chini jamaa.Tuje kuongozwa tena na wachawi jamani. nooopoo. Haikubaliki. Kume mafuriko yake ni misukule mitupu tunayoona. Lohhh
 
Mimi nafikiri yuko sawa,as much ni mtumishi wa umma nijuavyo mimi ni kwamba kuna taratibu zake kwenye mambo haya na kwamba ccm sio wajinga hivo wapindishe taratibu ambazo wao wanazisimamia na kama tungemuona majukwaani nafikiri watu mgeandika sana humu.

Hata da salma alikua mwalimu lakini aliacha ili aweze kupata nafasi ya kulitumikia taifa kama mke wa Rais. usijitoe ufahamu mama magu kagoma kutokana na tabia za mumewe full stop.
 
Mie sijawahi kuwa karibu nao ila miaka kadhaa iliyopita mtu wao wakaribu alinieleza mambo ya kutisha sana kuhusu huyu jamaa mpaka nikaogopa.
Kyle Chato nako waulizeni watawaeleza kwa nini hawampendi homeboy wao?
Niliwahi kuuliza hapa JF swali la kimtego na hakuna jibu la maana lililotoka, Chato ni eneo lenye mauaji na mashambuli mengi ya Albino kwa nini mbunge wa miaka ishirini hashiriki kupiga vita au kukemea mambo hayo?
Jibu litakuwa wazi siku moja na watu watazimia kwa ukweli


Muda utaongea Mkuu.. Hakuna marefu yasiyo na ncha.. Hilo la Albino hata mimi nilishaambiwa, ila ya Mungu mengi..
 
mke wa magufuli siyo limbukeni kama mke wa Lowasa kushobokea kila kitu.

angekuwa limbukeni mngeenda kwa huyo mama kumpigia magoti afanane na mama Lowasa. Kwa kweli naamini sasa hv mmechanganyikiwa kabisa.

Familia tu imemshinda nchi ataiweza?
 
Hii ya kafara bonge la point kumpiga chini jamaa.Tuje kuongozwa tena na wachawi jamani. nooopoo. Haikubaliki. Kume mafuriko yake ni misukule mitupu tunayoona. Lohhh

Nachoshangaa ni yule Albino mpiga vita wa mauwaji ya Albino Henry Mdimu nae anam'support Zee la Kilomita.. Maskini, hajui yeye ndiye mteketezaji mkuu wa ndugu zake..
 
kwa kweli nimempenda mama magufuli kwa msimamo aliouonesha
 
miezi miwili yupo njiani papuchi anaziona tu zikikatika stejini za wasanii . atakuwa si rijari labda
 
Mzee anaomba kutafutiwa mke wa kizaramo... Chezeya Magufuli weye? Mama mwalimu kazira sasa!
 
Kwa ambao hamfahamu tu.. Huyo Kofuli mnayemwongelea hapa katoa watoto wake wengi tu kafara ili ang'ae kisiasa.. Kafara ya mwisho aliitoa majuzi tu hapa, maiti ikasafirishwa na ndege ya serikali. Huyo Kofuli kwa wasio mjua ni mchawi aliyewiva, kwake Kanisa ni kama Kituo cha Polisi. Wakati anatoa hizo kafara mkewe alikuwa hashirikishwi, hii kesi ilishapelekwa mpaka kwenye ngazi za Ukoo ikajadiliwa.. Huyo mkewe kamwe hawezi kuandamana nae, sababu bado damu za watoto wake zinamuumiza mpaka leo, tena ukizingatia yule mama ni mtu wa maombi sana..

Jamani polepole, hizi shutma zingine zinaweza kumuangamiza mtu machoni pa watu, ehh!!
 
Hii ya kafara bonge la point kumpiga chini jamaa.Tuje kuongozwa tena na wachawi jamani. nooopoo. Haikubaliki. Kume mafuriko yake ni misukule mitupu tunayoona. Lohhh

Madogo yana nafuu, huuh
 
VUTA-NKUVUTE

mkuu usijivunjie heshima bure. Kuna mambo ya msingi ya kuzungumzia lakn sio kuzungumzia maisha ya ndan ya nyumba ya magufuli.

Hivi mke wa mgombea ananafasi gani kwa wananchi?
Acheni urofa bhana[/QUOTEfamily matters ........hayo mnayoyafanya ni ya duniani mie nafanya ya kumpendeza yesu nukta. was a qoute
 
kila kitu ukawa wakifanya na nyie mnataka...jaman mama nayeye labda anataka mabadiliko na lowassa#mabadiliko# mwaka huu lazma
 
Huyu mama magufuli anaonekana mkorofi na mtu mwenye msimamo isije ikawa kama mama mashumbushishi mchumba wa dr sllaa naona kama wanashabihiana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom