Nakuunga mkono, twende na reginaHuyo mama kama mumewe atapita, anaweza asihudhurie hata dhifa za kitaifa, so mama Regina Lowassa ndiye pekee kati ya wagombea wote wanaume wanaoambatana na waume zao au kuwapigia kampeni, tumsapoti mama Regina.
Nakuunga mkono, twende na reginaHuyo mama kama mumewe atapita, anaweza asihudhurie hata dhifa za kitaifa, so mama Regina Lowassa ndiye pekee kati ya wagombea wote wanaume wanaoambatana na waume zao au kuwapigia kampeni, tumsapoti mama Regina.
Kuna clip moja maghufuli alikuwa anawaomba wananchi wamtafutie mwanamke wa kizaramo
Kwani Kazi Kuu Ya Ufirst Lady Nini,si Kumshauri Rais/mmewe Sasa Kuwepo Kwake Ama Kutokuwepo Kwake Kunaathiri Vp Kampeni Za Magufuli?Kwa Lipumba Mbona Hili La Mke Hamkulipigia Kelele?
Kutokana na kutoonekana kwenye kampeni za mumewe, Dr. John P. Magufuli, Mama Janeth Magufuli ametumiwa ujumbe na CCM ili ajiunge kwenye kampeni za Dr. Magufuli. Ujumbe huo wa kichama ulitumwa kupitia wanamama manguli chamani ili kwenda kumpigia kampeni mumewe na kufanya ayafanyayo Mama Regina Lowassa, mke wa mgombea wa CHADEMA Edward Lowassa.
Katika kikao hicho cha kichama na kirafiki ili aafiki, Mama Magufuli aligoma kujiunga kwenye timu kampeni za mumewe zinazoendelea kurindima nchi nzima. Mama Magufuli, aliyesemekana kuwa mkali, alisema kuwa aachwe aendelee kufundisha wanafunzi wake wa Mbuyuni Primary School kwakuwa yeye si mwanasiasa. Mama Magufuli amewadokeza wapeleka ujumbe kuwa amekubaliana na Dr.Magufuli juu ya uamuzi wake wa kutoambatana naye kwenye kampeni.
Wajumbe waliopeleka ujumbe wa chama walibaki kimya na kurudisha majibu hayo ya mgomo. Turufu ya mwisho ya kumshawishi Mama Magufuli kujiunga kwenye kampeni imebaki kuwa Mama Maria Nyerere ambaye anatajwa kuwa na uwezo wa kumshawishi Mama Magufuli. Mama Magufuli atakutanishwa hivi karibuni na Mama Nyerere nyumbani kwa Hayati Mwalimu Nyerere Dar es Salaam ili kuyaweka sawa mambo hayo.
Inampasa Mama Magufuli aige mfano na awe kama Mama Regina Lowassa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Kaangalie kazi zinazofanywa na ma firstlady wa nchi za wenzetu.. Nenda tu hapo Rwanda ukajionee.. Sasa huyo mama hayuko tayari, maana anajua huyo jamaa akiuchukua ukulu atamaliza mpaka yeye kwa kafara. Uwaziri tu ameshaua watoto watatu na wote wanakufa kimaajabu tu. Sasa ukulu itakuwaje??
Wwe nyumbu hebu acha mihemuko, Magufuli ni mwenyewe ni timu ya watu mia, anapiga mzigo mwenyewe, na atamaliza mwenyewe. Hii inatuambia pia kuwa hata akiingia ikulu hatayumbishwa na mke wake, maana kazi anapiga mwenyewe. Kwa lowassa ni wazi kabisa maamuzi mengi ya nchi yatakuwa yanatolewa na mama lowassa, maana kampen wamefanya woten
Mkuu Mbona Hata Alivokua Anagombea Ubunge Wa Chato Mkewe Hakujihusisha,mbona Hamkusema?Hivi Ukienda Kufanya Interview Ya Kuomba Kazi Lazima Uende Na Mmeo Au Mkeo?
Unajua kuna watu wanabishia mambo kwa kufuata mkumbo. Huyo mama anajua mengi sana, na sii ajabu kila siku kwake ni kilio tokea mumewe apendekezwe kugombea. Nani hapendi kuishi bwana? Kuna siri nzito sana kwa mheshimiwa huyu na walio karibu naye wanaijua. Hata kwa watu wa Chato kwa nini hawamuungi mkono? Ni kuwa wanajua ana tabia ya kufanya nini kufanikisha mambo yake na kuleta mvuto feki.
Usikute mama anafunga na kuomba Mwenyezi Mungu amuepushie kikombe hiki kwa Mumewe kukosa nafasi hiyo. Watanzania tuwe na asili ya kuhoji na kudadisi mambo kwa undani sana. Magufuli mnayemjua sio yeye alivyo.
Magufuli ni player mzuri sana kwa Wanawake, huyu mama wametengana kwa sababu ya Magufuli kuzidisha michepuko...ikiwa Magufuli atashinda Urais basi ndoa yake itakuwa km ile ya Benjamin Mkapa na Anna Mkapa!
Mkuu kuna mburulaz wengi humu hawamjui huyo mtu, na hawajui tabia za huyo mtu.. Aliyoyafanya kwa mkewe lazima mke imuumize sana. Hawezi akawa anakesha labour ku'pump alafu watoto watolewe duniani kwa njia za maajabu ajabu tu.. Nimeishi jirani yao kwa kipindi kirefu, yule Mama hatokaa afurahie hili maana hata yeye anahofu na maisha yake. Huyu mama ameamua kukesha akiomba tu, na maombi ndio miaka yote humweka hai la sivyo hata yeye angeshaondoshwa..
Kwa ambao hamfahamu tu.. Huyo Kofuli mnayemwongelea hapa katoa watoto wake wengi tu kafara ili ang'ae kisiasa.. Kafara ya mwisho aliitoa majuzi tu hapa, maiti ikasafirishwa na ndege ya serikali. Huyo Kofuli kwa wasio mjua ni mchawi aliyewiva, kwake Kanisa ni kama Kituo cha Polisi. Wakati anatoa hizo kafara mkewe alikuwa hashirikishwi, hii kesi ilishapelekwa mpaka kwenye ngazi za Ukoo ikajadiliwa.. Huyo mkewe kamwe hawezi kuandamana nae, sababu bado damu za watoto wake zinamuumiza mpaka leo, tena ukizingatia yule mama ni mtu wa maombi sana..
Kuna clip moja maghufuli alikuwa anawaomba wananchi wamtafutie mwanamke wa kizaramo
Kuna clip moja maghufuli alikuwa anawaomba wananchi wamtafutie mwanamke wa kizaramo