Mama Janeth Magufuli agoma kukampeni, acharuka

Mama Janeth Magufuli agoma kukampeni, acharuka

Status
Not open for further replies.
VUTA-NKUVUTE

mkuu usijivunjie heshima bure. Kuna mambo ya msingi ya kuzungumzia lakn sio kuzungumzia maisha ya ndan ya nyumba ya magufuli.

Hivi mke wa mgombea ananafasi gani kwa wananchi?
Acheni urofa bhana
 
Last edited by a moderator:
Wwe nyumbu hebu acha mihemuko, Magufuli ni mwenyewe ni timu ya watu mia, anapiga mzigo mwenyewe, na atamaliza mwenyewe. Hii inatuambia pia kuwa hata akiingia ikulu hatayumbishwa na mke wake, maana kazi anapiga mwenyewe. Kwa lowassa ni wazi kabisa maamuzi mengi ya nchi yatakuwa yanatolewa na mama lowassa, maana kampen wamefanya woten

hili la maamuzi ya rais kuiongoza nchi kwa influence ya mke wa rais kwa kuwa alishiriki naye kwenye kuusaka urais kuna ukweli,hii kitu nyerere aliikemea kipindi mwinyi yuko madarakani
 
hivi watu mnapata wapi mamlaka ya kuzungumzia maisha ya ndan ya mtu?.
Huko ni kukosa hoja ukiona mtu anaanza kuchambua maisha ya chumban ya mtu.

Mbona hujamuuliza baba yako alivyobambikiwa mimba na mama yako?

Hahahaa mkuu acha kujiharishia, maisha binafsi ya Rais mtarajiwa ni lazima yafuatiliwe tena kwa ndani kabisa#

Kumbuka huyu ni public figure na akishinda kuwa Rais (ingawa ni ndoto), yy na Familia yake watakuwa wanaishi kwa gharama za kodi zetu wananchi!

Baba yangu kubambikiwa mimba ww inakuhusu nn? Au ni ww ni nyumba ndogo ya mzee wangu???
 
hivi watu mnapata wapi mamlaka ya kuzungumzia maisha ya ndan ya mtu?.
Huko ni kukosa hoja ukiona mtu anaanza kuchambua maisha ya chumban ya mtu.

Mbona hujamuuliza baba yako alivyobambikiwa mimba na mama yako?

'ukishaingia "CHA NDIMU" inakubidi uwe mpole tu unapopigwa kanzu na matobo kwa kuwa umeingia mwenyewe kucheza cha ndimu.@M. Nyerere'
 
mkuu usijivunjie heshima bure. Kuna mambo ya msingi ya kuzungumzia lakn sio kuzungumzia maisha ya ndan ya nyumba ya magufuli.

Hivi mke wa mgombea ananafasi gani kwa wananchi?
Acheni urofa bhana

Unajua nini maana ya First Lady?
Lazima tumjue mtu anaye-share kitanda na Rais wetu
 
VUTA-NKUVUTE

Huwa unafaidika nini kuandika mambo private, kwahiyo kwako wewe hauwezi ukafanya ya kwako kisa Fulani hafanyi kama wewe? jifunze kutunza siri za taasisi yako hata kama unahisi huipendi kwasababu hats sisi makazini tuna changamoto nyingi sana lakini ubaki tunaweka siri yanayoendelea kwa heshina yako na ya taasisi ..behave!
 
Last edited by a moderator:
Magufuli ni player mzuri sana kwa Wanawake, huyu mama wametengana kwa sababu ya Magufuli kuzidisha michepuko...ikiwa Magufuli atashinda Urais basi ndoa yake itakuwa km ile ya Benjamin Mkapa na Anna Mkapa!
A male who is skilled at manipulating ("playing") others, and especially at seducing women by pretending to care about them, when in reality they are only interested in sex. Possibly derived from the phrases "play him for a fool", or "play him like a violin".sasa huyo babu ananunulia vimada majumba hawezi kuwa player. ..maplayer hawaongi wanagonga kisela
 
Huyu mama anamkubali sana Lowasa, anashindwa afanyeje!!! mama anataka mabadiliko msimlazimisheeeee e:bange::bange:
 
Kutokana na kutoonekana kwenye kampeni za mumewe, Dr. John P. Magufuli, Mama Janeth Magufuli ametumiwa ujumbe na CCM ili ajiunge kwenye kampeni za Dr. Magufuli. Ujumbe huo wa kichama ulitumwa kupitia wanamama manguli chamani ili kwenda kumpigia kampeni mumewe na kufanya ayafanyayo Mama Regina Lowassa, mke wa mgombea wa CHADEMA Edward Lowassa.

Katika kikao hicho cha kichama na kirafiki ili aafiki, Mama Magufuli aligoma kujiunga kwenye timu kampeni za mumewe zinazoendelea kurindima nchi nzima. Mama Magufuli, aliyesemekana kuwa mkali, alisema kuwa aachwe aendelee kufundisha wanafunzi wake wa Mbuyuni Primary School kwakuwa yeye si mwanasiasa. Mama Magufuli amewadokeza wapeleka ujumbe kuwa amekubaliana na Dr.Magufuli juu ya uamuzi wake wa kutoambatana naye kwenye kampeni.

Wajumbe waliopeleka ujumbe wa chama walibaki kimya na kurudisha majibu hayo ya mgomo. Turufu ya mwisho ya kumshawishi Mama Magufuli kujiunga kwenye kampeni imebaki kuwa Mama Maria Nyerere ambaye anatajwa kuwa na uwezo wa kumshawishi Mama Magufuli. Mama Magufuli atakutanishwa hivi karibuni na Mama Nyerere nyumbani kwa Hayati Mwalimu Nyerere Dar es Salaam ili kuyaweka sawa mambo hayo.

Inampasa Mama Magufuli aige mfano na awe kama Mama Regina Lowassa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Achani ujingaa. Mzee JK mmemtukana na kumdhalilisha kisa mke wake kushiriki kwenye siasa, Dr Magifuli alishasema hashirikishi fwmilia mambo ya siasa, ila mlivyo wajinga mnataka amshirikishe ili muanze kumcheka tena
 
Yaani ninyi, mnataka ccm iwe UKaWA?

Magufuli hawezi kuwa Lowasa hata mkimwita M4C.

Janeth hata angejiloweka kwenye magadi haji kuwa Regina.

Kama hamna vya kwenu, mkalale, maigizo hayasaidii!

ha ha ha taddy umemaliza kila kitu
 
A male who is skilled at manipulating ("playing") others, and especially at seducing women by pretending to care about them, when in reality they are only interested in sex. Possibly derived from the phrases "play him for a fool", or "play him like a violin".sasa huyo babu ananunulia vimada majumba hawezi kuwa player. ..maplayer hawaongi wanagonga kisela

Hahahaa sawa mkuu nimekupata....kweli kwa sifa zake hawezi kuwa player...fikiria anamjengea mwanamke wa nje hotel kubwa km Kebby's🙄
 
Kwani sheria inasemaje mtumishi wa umma kujishirikisha na siasa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom