Mama Janeth Magufuli agoma kukampeni, acharuka

Mama Janeth Magufuli agoma kukampeni, acharuka

Status
Not open for further replies.
hivi watu mnapata wapi mamlaka ya kuzungumzia maisha ya ndan ya mtu?.
Huko ni kukosa hoja ukiona mtu anaanza kuchambua maisha ya chumban ya mtu.

Mbona hujamuuliza baba yako alivyobambikiwa mimba na mama yako?


rais ni public figure, ni taasisi hivyo lazima amulikwe na maisha yake lazima yawe transparent anataka, hataki
 
Hii ya kafara bonge la point kumpiga chini jamaa.Tuje kuongozwa tena na wachawi jamani. nooopoo. Haikubaliki. Kume mafuriko yake ni misukule mitupu tunayoona. Lohhh

Hakuna uchawi ni ulofa kuamini uchawi
 
Mama Janet Magufuli ni mtu "Kiona mbali" sana!! ameshagundua kwamba safari ya mumewe "is on a road to nowhere"
!! Aachwe aendelee na kazi yake ya wito, UALIMU.

VUTA-NKUVUTE
HAKUNA LOLOTE, HAPA pana mkwara wa nyumba ndogo kuwa kama nyumba kubwa itajikita basi nayo imo tu! kuepusha shari nyumba kubwa kimyaa.
 
VUTA-NKUVUTE

mkuu usijivunjie heshima bure. Kuna mambo ya msingi ya kuzungumzia lakn sio kuzungumzia maisha ya ndan ya nyumba ya magufuli.

Hivi mke wa mgombea ananafasi gani kwa wananchi?
Acheni urofa bhana

Tulia ww gamba tushaamua Rais wetu ni Lowasa tuu
 
Last edited by a moderator:
Kwa ambao hamfahamu tu.. Huyo Kofuli mnayemwongelea hapa katoa watoto wake wengi tu kafara ili ang'ae kisiasa.. Kafara ya mwisho aliitoa majuzi tu hapa, maiti ikasafirishwa na ndege ya serikali. Huyo Kofuli kwa wasio mjua ni mchawi aliyewiva, kwake Kanisa ni kama Kituo cha Polisi. Wakati anatoa hizo kafara mkewe alikuwa hashirikishwi, hii kesi ilishapelekwa mpaka kwenye ngazi za Ukoo ikajadiliwa.. Huyo mkewe kamwe hawezi kuandamana nae, sababu bado damu za watoto wake zinamuumiza mpaka leo, tena ukizingatia yule mama ni mtu wa maombi sana..

wewe nyumbu lazima utakuwa umepewa uchawi na bibi yako.
 
Nachoshangaa ni yule Albino mpiga vita wa mauwaji ya Albino Henry Mdimu nae anam'support Zee la Kilomita.. Maskini, hajui yeye ndiye mteketezaji mkuu wa ndugu zake..

Hivi Wanachato Ni Wajinga Kiasi Hicho Mpaka Wakamchagua Miaka Yote Hiyo Kuwa Mbunge Wao?
 
Huyo Mama Ndo Mwenye Akili,anajijua Yeye Si Mwanasiasa Hataki Kuingilia Fani Za Wengine,wanasiasa Fanyeni Yenu Na Yeye Afanye Yake.Hatutamchagua Rais Just Because Anatembea Na Mke Wake Au Mke Wake Anamsaidia Kukampeni,kama Ni Hivo 2005 Lipumba Asingeambulia Hata Nusu Ya Kura Alizopata......

Hayo ni maoni yako usisemee wengine
 
Duuu! Maskin makuful ! Yaan hata uthibit wa familia umemshinda halaf mnatuombia ni tinga tinga?labda tinga tinga la makopo sio cartepillar d6 tunayoyafahamu? Asee nimesoma hii post kichinjia changu kika vibrate kama nokia 3310
 
Kama Magufuli alikuwa hamjali yeye atafanyaje.

Lowassa ni habari mbaya kwa maccm

aaaaaaaa nimegunduuuuuaaaaa!!.kumbe ni stress za kuwa mbali na tunda ndo maana jamaa kachapia juu ya sadamu kuwa rais wa kuweiti!!
 
nakubaliana kabisa na msimamo wa mama magufuli tena naunga mkono.kama kuna tatizo lililotuletea shida kubwa nchi hii ni kwa wake wa viongozi kuingia kwenye siasa na kuanzisha taasisi ambazo watu wabaya wamezitumia na kuingilia maswala ya nchi.ili jambo moja linaloonyesha kweli kuwa dr.john pombe magufuli ameamua kuibadili hii nchi.mama abaki na majukumu yake na dr john atumikie watanzania bila kuingiliwa na familia wala rafiki.napenda ni mwombe dr awajulishe marafiki zake hata na hao wanaomsaidia kufanya kampeni wasitegemee hisani kwa sababu ya kazi wanayofanya sasa.ili kila mtanzania awe na haki sawa bila upendeleo wowote.viva magufuli viva change for magufuli.aluta continua.

wengine siku hizi ni wafanya biashara maarufu wenye majumba lukuki katikati ya jiji
 
yeye ni mwalim

Jiulize maswali kuhusu waalim

kisha mtafakari mwalim Janeth ana maana gani
 
huyu mama alikwisha sema kwamba ni rahisi tembo kupenya kwenye tundu la sindano kuliko magufuli kuwa rais
 
Hapa kuna swali kuu kwenye hiki kimbwanga.

Kama mkewe wanalala naye chumba kimoja HAMUAMINI, sisi tunayemuona kwenye matangazo tu tutamuamini vipi?

CCM imechoka


 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mbona Hata Alivokua Anagombea Ubunge Wa Chato Mkewe Hakujihusisha,mbona Hamkusema?Hivi Ukienda Kufanya Interview Ya Kuomba Kazi Lazima Uende Na Mmeo Au Mkeo?
Sasa kama si lazima kuambatana na mume wakati wa kampeni, iweje aundiwe jopo la akina mama wa kwenda kumshawishi akubali kupanda jukwaani?
 
Aambatane nae kwani wanaenda kula dinner?? Hapa ni kazi tu, mapenzi mwachie lowassa
 
Safi sana Magufuli jeshi la mtu mmoja.

Nawafahamu walimu sio watu wa kudanganya na kurubuni watu wanafahamu maadili na miiko ya kifamilia
 
Kamati ya maadili ya chama chakavu CCM haikuona moto unao waka nyumbani kwa magufuli. Malaya awezi kuongoza inchi hii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom