Mama Janeth Magufuli agoma kukampeni, acharuka

Mama Janeth Magufuli agoma kukampeni, acharuka

Status
Not open for further replies.
Jambo usilolijua litakusumbua. Kasikilizeni sera tu za wagombea wenu maana kuhusu ndoa nyingi bongo ni majanga. Labda mfumo wa utawala ukibadilika tuje tuangalie upya sheria za ndoa kunusuru vijana wetu
 
Huyo Mama Ndo Mwenye Akili,anajijua Yeye Si Mwanasiasa Hataki Kuingilia Fani Za Wengine,wanasiasa Fanyeni Yenu Na Yeye Afanye Yake.Hatutamchagua Rais Just Because Anatembea Na Mke Wake Au Mke Wake Anamsaidia Kukampeni,kama Ni Hivo 2005 Lipumba Asingeambulia Hata Nusu Ya Kura Alizopata......

Hivi unakubaliana na uongo huu.
 
VUTA-NKUVUTE kwani ni nini sababu iliyopelekea Mkewe kutokuwa kwenye kampeni? Naona sijaona mahala popote mtu kaanisiha sababu hizo. Funnguka kiongozi
 
Last edited by a moderator:
Hivi ingekuwa mwanamke ndio anagombea uraisi na mume wake anatakiwa aongozane naye? Maguful hana uongozi mkubwa CCM so mke wake pia hana uongozi mkubwa, hata akiongozana naye au asipoongozana naye hakuna tofauti
Maadam alimsindikiza kwenye ufunguzi mimi naona inatosha, kama wangekuwa na ugomvi sidhani hata kama kwenye ufunguzi angeenda. CCM ni taasisi yenye watu wazito wanaweza kuambatana na Magufuli
 
Wewe wa ajabu kabisa unashabikia Regina kuwa kwenye kampeni za Lowassa, si lazima awepo kwasababu mumwe hawezi kuongea. Lowassa anaongea dk 10 tu sasa unategemea nini lazima mke wake awepo ili amsemee. After all huyo Janeth hatakuwa Rais wetu, sisi Rais wetu anaenda kuwa Magufuli, so aambatane nae au asiambatane nae. We don't care.
 
Umemaliza debate...
Na hatutaki first lady opportunist...huyu atakuwa mke wa Buhari type...siasa na urais ni vya mumewe...siyo ooohhh NGO...ooooh sijui nini...tunamchagua rais au mke wa rais?

Afu nashagaa wanaume wanavyombonda Magufuli akati anawakilisha wanaume weeengi wa Tz na Africa kwa ujumla...msafi ni nani kwa mfano?

MAMA MAGUFULI AKIMFANYIA KAMPENI MUMEWE NA CCM KIJIJINI KWAO



[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mke wa Mgombea wa CCM Magufuli anaendelea na kampezi za uchaguzi kijiji kwao. Maelfu kwa maelfu wamejitokeza kumsikiliza Mama Magufuli.

#HapaKaziTu

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Wasiwasi wa nini mbona SAMIA yoko na anapiga kazi tu hapo ni kazi tu hata kama amechuchumaa amelala hachagui kiti yeye ni kazi tu
 
VUTA-NKUVUTE

mkuu usijivunjie heshima bure. Kuna mambo ya msingi ya kuzungumzia lakn sio kuzungumzia maisha ya ndan ya nyumba ya magufuli.

Hivi mke wa mgombea ananafasi gani kwa wananchi?
Acheni urofa bhana

Una picha ya nyerere lakini hujui hotuba zake. Tafuta hotuba ya mwalimu kuhusu mke.
 
Haya mlikuwa mnamtaka huyo hapo!!
 

Attachments

  • mama magufuli.jpg
    mama magufuli.jpg
    23.1 KB · Views: 448
Mkuu Fisadi naona unajua mengi kuhusu Magufuli. Basi ni vyema huyo mama aje atuelezee hadharani.


Kwa ambao hamfahamu tu.. Huyo Kofuli mnayemwongelea hapa katoa watoto wake wengi tu kafara ili ang'ae kisiasa.. Kafara ya mwisho aliitoa majuzi tu hapa, maiti ikasafirishwa na ndege ya serikali. Huyo Kofuli kwa wasio mjua ni mchawi aliyewiva, kwake Kanisa ni kama Kituo cha Polisi. Wakati anatoa hizo kafara mkewe alikuwa hashirikishwi, hii kesi ilishapelekwa mpaka kwenye ngazi za Ukoo ikajadiliwa.. Huyo mkewe kamwe hawezi kuandamana nae, sababu bado damu za watoto wake zinamuumiza mpaka leo, tena ukizingatia yule mama ni mtu wa maombi sana..

Mkuu kuna mburulaz wengi humu hawamjui huyo mtu, na hawajui tabia za huyo mtu.. Aliyoyafanya kwa mkewe lazima mke imuumize sana. Hawezi akawa anakesha labour ku'pump alafu watoto watolewe duniani kwa njia za maajabu ajabu tu.. Nimeishi jirani yao kwa kipindi kirefu, yule Mama hatokaa afurahie hili maana hata yeye anahofu na maisha yake. Huyu mama ameamua kukesha akiomba tu, na maombi ndio miaka yote humweka hai la sivyo hata yeye angeshaondoshwa..

Nachoshangaa ni yule Albino mpiga vita wa mauwaji ya Albino Henry Mdimu nae anam'support Zee la Kilomita.. Maskini, hajui yeye ndiye mteketezaji mkuu wa ndugu zake..
 
Last edited by a moderator:
Kwa ambao hamfahamu tu.. Huyo Kofuli mnayemwongelea hapa katoa watoto wake wengi tu kafara ili ang'ae kisiasa.. Kafara ya mwisho aliitoa majuzi tu hapa, maiti ikasafirishwa na ndege ya serikali. Huyo Kofuli kwa wasio mjua ni mchawi aliyewiva, kwake Kanisa ni kama Kituo cha Polisi. Wakati anatoa hizo kafara mkewe alikuwa hashirikishwi, hii kesi ilishapelekwa mpaka kwenye ngazi za Ukoo ikajadiliwa.. Huyo mkewe kamwe hawezi kuandamana nae, sababu bado damu za watoto wake zinamuumiza mpaka leo, tena ukizingatia yule mama ni mtu wa maombi sana..
Huyu gufuli ni hatari sana aisee atawamaliza wote ahamie kwa mkewe mana ndo zake ningrkua mkewe na Mimi ningemtanguliza tu inaudhi mno
 
Magufuli kamatunavoona anamgogolo na ndoa yake. Vilevile makamu wake Samia Suluhu naye alimkimbia Mume wake.

Sasa nashauri Magufuli na makamu wake waoane tu tupunguze gharama zakuwa na masela Ikulu endapo watashinda. Itakuwa aibu rais msela, makamu wake naye msela.

Aagh!!
 
Kutokana na kutoonekana kwenye kampeni za mumewe, Dr. John P. Magufuli, Mama Janeth Magufuli ametumiwa ujumbe na CCM ili ajiunge kwenye kampeni za Dr. Magufuli. Ujumbe huo wa kichama ulitumwa kupitia wanamama manguli chamani ili kwenda kumpigia kampeni mumewe na kufanya ayafanyayo Mama Regina Lowassa, mke wa mgombea wa CHADEMA Edward Lowassa.

Katika kikao hicho cha kichama na kirafiki ili aafiki, Mama Magufuli aligoma kujiunga kwenye timu kampeni za mumewe zinazoendelea kurindima nchi nzima. Mama Magufuli, aliyesemekana kuwa mkali, alisema kuwa aachwe aendelee kufundisha wanafunzi wake wa Mbuyuni Primary School kwakuwa yeye si mwanasiasa. Mama Magufuli amewadokeza wapeleka ujumbe kuwa amekubaliana na Dr.Magufuli juu ya uamuzi wake wa kutoambatana naye kwenye kampeni.

Wajumbe waliopeleka ujumbe wa chama walibaki kimya na kurudisha majibu hayo ya mgomo. Turufu ya mwisho ya kumshawishi Mama Magufuli kujiunga kwenye kampeni imebaki kuwa Mama Maria Nyerere ambaye anatajwa kuwa na uwezo wa kumshawishi Mama Magufuli. Mama Magufuli atakutanishwa hivi karibuni na Mama Nyerere nyumbani kwa Hayati Mwalimu Nyerere Dar es Salaam ili kuyaweka sawa mambo hayo.

Inampasa Mama Magufuli aige mfano na awe kama Mama Regina Lowassa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam


Mkuu VUTA-NKUVUTE pamoja na kukacha kuwa mmoja wa wana timu ya ushindi naona unanasa mambo mazito.

Haya bana kila heri na Mbele kwa Mbele...
 
Last edited by a moderator:
Magufuli kamatunavoona anamgogolo na ndoa yake. Vilevile makamu wake Samia Suluhu naye alimkimbia Mume wake.

Sasa nashauri Magufuli na makamu wake waoane tu tupunguze gharama zakuwa na masela Ikulu endapo watashinda. Itakuwa aibu rais msela, makamu wake naye msela.

Aagh!!

Jamaa na rais wa bara bara nahisi ana mgogoro na my wifee wake...

Sasa haya ya kumlazimisha mwalimu wetu, yatafumua mengi sana ya ndani, ambayo nadhani mwishowe tutamchapa na kiboko chake mwenyewe mzee wa hapa job tuuuu!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom