Mama Janeth Magufuli agoma kukampeni, acharuka

Status
Not open for further replies.
Mkuu Mbona Hata Alivokua Anagombea Ubunge Wa Chato Mkewe Hakujihusisha,mbona Hamkusema?Hivi Ukienda Kufanya Interview Ya Kuomba Kazi Lazima Uende Na Mmeo Au Mkeo?

Hii nafasi ni tofauti kwani kwenye ubunge mke hana nafasi lln kwenye uRais mke anakua First Lady...
 
Hahahaa sawa mkuu nimekupata....kweli kwa sifa zake hawezi kuwa player...fikiria anamjengea mwanamke wa nje hotel kubwa km Kebby's🙄
"kama wanataka ashiriki ilo jina la kebby's libadilishwe liwekwe lake apo ndipo penye shida angekuwa amesha anza tangu juzi"!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ati sheria ya makosa ya mtandao. Sema kilevi ana kidevu kirefuu au ni ugoro huwa anajaza mule?
 
Hii nafasi ni tofauti kwani kwenye ubunge mke hana nafasi lln kwenye uRais mke anakua First Lady...

Kwani Kazi Kuu Ya Ufirst Lady Nini,si Kumshauri Rais/mmewe Sasa Kuwepo Kwake Ama Kutokuwepo Kwake Kunaathiri Vp Kampeni Za Magufuli?Kwa Lipumba Mbona Hili La Mke Hamkulipigia Kelele?
 
Hahahha kwan lazima ampigie chapuo uwenda ana uwezo wa kumdani kwenye majukwaa ndio mahana hataki kuongozana nae
 
Kila mtu anatetea kibarua chake. Labda bosi wake (Mwalimu Mkuu), aligoma kutoa ruhusa ya kwenda kufanya kampeni.
 
Aendelee kununa hivyo hivyo mpk muda wa kampeni uishe.
 
Kutokana na kutoonekana kwenye kampeni za mumewe, Dr. John P. Magufuli, Mama Janeth Magufuli ametumiwa ujumbe na CCM ili ajiunge kwenye kampeni za Dr. Magufuli. Ujumbe huo wa kichama ulitumwa kupitia wanamama manguli chamani ili kwenda kumpigia kampeni mumewe na kufanya ayafanyayo Mama Regina Lowassa, mke wa mgombea wa CHADEMA Edward Lowassa.

Katika kikao hicho cha kichama na kirafiki ili aafiki, Mama Magufuli aligoma kujiunga kwenye timu kampeni za mumewe zinazoendelea kurindima nchi nzima. Mama Magufuli, aliyesemekana kuwa mkali, alisema kuwa aachwe aendelee kufundisha wanafunzi wake wa Mbuyuni Primary School kwakuwa yeye si mwanasiasa. Mama Magufuli amewadokeza wapeleka ujumbe kuwa amekubaliana na Dr.Magufuli juu ya uamuzi wake wa kutoambatana naye kwenye kampeni.

Wajumbe waliopeleka ujumbe wa chama walibaki kimya na kurudisha majibu hayo ya mgomo. Turufu ya mwisho ya kumshawishi Mama Magufuli kujiunga kwenye kampeni imebaki kuwa Mama Maria Nyerere ambaye anatajwa kuwa na uwezo wa kumshawishi Mama Magufuli. Mama Magufuli atakutanishwa hivi karibuni na Mama Nyerere nyumbani kwa Hayati Mwalimu Nyerere Dar es Salaam ili kuyaweka sawa mambo hayo.

Inampasa Mama Magufuli aige mfano na awe kama Mama Regina Lowassa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

huu ndo utamaduni tunatakiwa kuupinga kwa nguvu zote, Urais wa Nchi si mali ya familia, watu kila kukicha wanamlaumu mama Salma Kikwete, Ridhiwani, wakati ule walimlaumu mama Mkapa, haya ndo mabadiliko tunayoyataka, mke aendelee na kazi zake, kwanza hata wanafunzi mbuyuni watafurahi kufundishwa na mke wa Rais. Ndo nimeamini kweli Magufuli For Change, kina Mama Regina tusije tukawalaumu pindi Lowasa akiwa Rais na wao wakavaa koti la Urais.
 
Kutokana na kutoonekana kwenye kampeni za mumewe, Dr. John P. Magufuli, Mama Janeth Magufuli ametumiwa ujumbe na CCM ili ajiunge kwenye kampeni za Dr. Magufuli. Ujumbe huo wa kichama ulitumwa kupitia wanamama manguli chamani ili kwenda kumpigia kampeni mumewe na kufanya ayafanyayo Mama Regina Lowassa, mke wa mgombea wa CHADEMA Edward Lowassa.

Katika kikao hicho cha kichama na kirafiki ili aafiki, Mama Magufuli aligoma kujiunga kwenye timu kampeni za mumewe zinazoendelea kurindima nchi nzima. Mama Magufuli, aliyesemekana kuwa mkali, alisema kuwa aachwe aendelee kufundisha wanafunzi wake wa Mbuyuni Primary School kwakuwa yeye si mwanasiasa. Mama Magufuli amewadokeza wapeleka ujumbe kuwa amekubaliana na Dr.Magufuli juu ya uamuzi wake wa kutoambatana naye kwenye kampeni.

Wajumbe waliopeleka ujumbe wa chama walibaki kimya na kurudisha majibu hayo ya mgomo. Turufu ya mwisho ya kumshawishi Mama Magufuli kujiunga kwenye kampeni imebaki kuwa Mama Maria Nyerere ambaye anatajwa kuwa na uwezo wa kumshawishi Mama Magufuli. Mama Magufuli atakutanishwa hivi karibuni na Mama Nyerere nyumbani kwa Hayati Mwalimu Nyerere Dar es Salaam ili kuyaweka sawa mambo hayo.

Inampasa Mama Magufuli aige mfano na awe kama Mama Regina Lowassa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Nakubaliana kabisa na msimamo wa Mama Magufuli tena naunga mkono.kama kuna tatizo lililotuletea shida kubwa nchi hii ni kwa wake wa viongozi kuingia kwenye siasa na kuanzisha taasisi ambazo watu wabaya wamezitumia na kuingilia maswala ya nchi.ili jambo moja linaloonyesha Kweli kuwa Dr.John Pombe Magufuli ameamua kuibadili hii nchi.Mama abaki na majukumu yake na Dr John atumikie Watanzania bila kuingiliwa na familia wala Rafiki.Napenda ni mwombe Dr awajulishe marafiki zake hata na hao wanaomsaidia kufanya kampeni wasitegemee hisani kwa sababu ya kazi wanayofanya sasa.ili kila mtanzania awe na haki sawa bila upendeleo wowote.viva Magufuli viva change for Magufuli.aluta continua.
 
mke wa magufuli siyo limbukeni kama mke wa Lowasa kushobokea kila kitu.
 
Magufuli kazaa zaa nje sana naye, nafikiri ndio maana mama hataki hata kujihusisha na hayo mambo, make anaona wako wengi.
 
Jamaa kagawa nyumba za serikali hadi kwa Vimada wake .. sasa fursa ya kuwa Rais imemjia ndo anakurupuka ... Janet Kataa katakata .. ikiwezekana dai talaka ..
 
Nakubaliana kabisa na msimamo wa Mama Magufuli tena naunga mkono.kama kuna tatizo lililotuletea shida kubwa nchi hii ni kwa wake wa viongozi kuingia kwenye siasa na kuanzisha taasisi ambazo watu wabaya wamezitumia na kuingilia maswala ya nchi.ili jambo moja linaloonyesha Kweli kuwa Dr.John Pombe Magufuli ameamua kuibadili hii nchi.Mama abaki na majukumu yake na Dr John atumikie Watanzania bila kuingiliwa na familia wala Rafiki.Napenda ni mwombe Dr awajulishe marafiki zake hata na hao wanaomsaidia kufanya kampeni wasitegemee hisani kwa sababu ya kazi wanayofanya sasa.ili kila mtanzania awe na haki sawa bila upendeleo wowote.viva Magufuli viva change for Magufuli.aluta continua.

Acha uongo, unajua mtu unaweza waza kuwa unachoandika ni kweli kumbe ni kukosa exposure tu, yaani iwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo tu, angalia worldwide, kwenye nchi zilizoendelea watu hupiga kampeni zao na wake zao kwa ajili ya kutafuta kura za akina mama, sasa iwapo tu mke wako hakuungi mkono ni vipi wanawake wengine watakuunga mkono...
Angalia akina Obama et al wake zao walihusika asilimia 100 kwenye kampeni vipindi vyote, lakini mwanaume ndo raisi, labda uniambie hii hii inakuwa vise versa kwa nchiza kiafrica
 
Ukiwa msaliti wa NDOA.... mwanamke HAWEZI KUKUBALI...!!!

Makomeo lazima kuna kitu kibaya kafanya kwa huyu mke wake...

Hivyo hafai kuwa Rais kabisa.
 
mkuu usijivunjie heshima bure. Kuna mambo ya msingi ya kuzungumzia lakn sio kuzungumzia maisha ya ndan ya nyumba ya magufuli.

Hivi mke wa mgombea ananafasi gani kwa wananchi?
Acheni urofa bhana

Nadhani hujua role ya Salma JK , Anna Mkapa, na MKE WA obama .utakuwa kijana mdogo sana wa facebook
 
Kwa ambao hamfahamu tu.. Huyo Kofuli mnayemwongelea hapa katoa watoto wake wengi tu kafara ili ang'ae kisiasa.. Kafara ya mwisho aliitoa majuzi tu hapa, maiti ikasafirishwa na ndege ya serikali. Huyo Kofuli kwa wasio mjua ni mchawi aliyewiva, kwake Kanisa ni kama Kituo cha Polisi. Wakati anatoa hizo kafara mkewe alikuwa hashirikishwi, hii kesi ilishapelekwa mpaka kwenye ngazi za Ukoo ikajadiliwa.. Huyo mkewe kamwe hawezi kuandamana nae, sababu bado damu za watoto wake zinamuumiza mpaka leo, tena ukizingatia yule mama ni mtu wa maombi sana..
 
Kutokana na kutoonekana kwenye kampeni za mumewe, Dr. John P. Magufuli, Mama Janeth Magufuli ametumiwa ujumbe na CCM ili ajiunge kwenye kampeni za Dr. Magufuli. Ujumbe huo wa kichama ulitumwa kupitia wanamama manguli chamani ili kwenda kumpigia kampeni mumewe na kufanya ayafanyayo Mama Regina Lowassa, mke wa mgombea wa CHADEMA Edward Lowassa.

Katika kikao hicho cha kichama na kirafiki ili aafiki, Mama Magufuli aligoma kujiunga kwenye timu kampeni za mumewe zinazoendelea kurindima nchi nzima. Mama Magufuli, aliyesemekana kuwa mkali, alisema kuwa aachwe aendelee kufundisha wanafunzi wake wa Mbuyuni Primary School kwakuwa yeye si mwanasiasa. Mama Magufuli amewadokeza wapeleka ujumbe kuwa amekubaliana na Dr.Magufuli juu ya uamuzi wake wa kutoambatana naye kwenye kampeni.

Wajumbe waliopeleka ujumbe wa chama walibaki kimya na kurudisha majibu hayo ya mgomo. Turufu ya mwisho ya kumshawishi Mama Magufuli kujiunga kwenye kampeni imebaki kuwa Mama Maria Nyerere ambaye anatajwa kuwa na uwezo wa kumshawishi Mama Magufuli. Mama Magufuli atakutanishwa hivi karibuni na Mama Nyerere nyumbani kwa Hayati Mwalimu Nyerere Dar es Salaam ili kuyaweka sawa mambo hayo.

Inampasa Mama Magufuli aige mfano na awe kama Mama Regina Lowassa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Magufuli alikuwa mda wote anakimbizana na vimwana hasa yule aliyemjengea hotel ya kebby hapo bamaga. Huyu mama hata akijunga na mmewe itakuwa ni maigizo tu
 
Huyo mama kama mumewe atapita, anaweza asihudhurie hata dhifa za kitaifa, so mama Regina Lowassa ndiye pekee kati ya wagombea wote wanaume wanaoambatana na waume zao au kuwapigia kampeni, tumsapoti mama Regina.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom